Ni bora kumtongoza usiyempenda

Mi binafsi nimeona ni bora kumtongoza yule usiyempenda. Ninayempenda kutoka moyoni sitakuwa tayari apunguze au akate kabisa urafiki endapo atanikatalia.

Ninayempenda kutoka moyoni sitakuwa tayari sitakuwa tayari kuona ananisaliti endapo atanikubalia ila nisiyempenda yeye afanye chochote kile mimi poa nikitaka show napiga akizingua poa siku akijileta nakula kimasihara

Nimetumia sana mbinu yako asilimia 90 ya wanawake niliowatongoza nilikuwa siwapendi ila chakushangaza unajikuta tu una fall in love,mapenzi ni sumu ya panya haijaribiwi kwa kuonja


Sent using IPhone X
 
Nimetumia sana mbinu yako asilimia 90 ya wanawake niliowatongoza nilikuwa siwapendi ila chakushangaza unajikuta tu una fall in love,mapenzi ni sumu ya panya haijaribiwi kwa kuonja


Sent using IPhone X
hahaha... kwahiyo bora nn kupenda au kupendapenda
 
Mimi huwa naweka Madem kumi wa kuwatongoza kwa siku na haijawahi tokea wote wakabwaga, na kuna wakati huwa wote wanakubali alafu baada ya hapo sasa ndio huwa nachuja mchele na chuya
Dah! 10??! bora itangazwe siku ya kutongoza duniani
 
Mapenz huwa na tabia ya kujengwa Huyo unayesema humpendi ukiwa nae anaweza kukufanya umpende hadi utajishangaa unataka kumuoa

Kuwa makini tongoza demu mkali hata kama humpendi huwezi jua kesho yako
Kweli jamaaa, hata mimi ilinitokea hio, nilikua na demu namuona kama katuni tu... Ndugu yangu sasa hivi nashindwa kumuacha na nina mpango wa kumuoa... Sijaamini mpango huu ila natamani kumuacha ila moyo hautaki
 
Nevet put a woman on the pedestal. Hili wanawake wazuri wanalijua vizuri kulitumia for their own benefit.
elaborate mkuu, nmepata mwanga kidogo ila bado sijaipata maana kamili unayoimaasha.. if u may, please weka kinagaubaga.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom