Deejay nasmile
JF-Expert Member
- Nov 8, 2011
- 5,822
- 5,415
Utalia na kusaga menopia unayempenda akija kukuacha hii dunia utaiona SINGELI
Mademu wote ni wakali, maana demu mkali kwako kwa mwingine anamuona wa kawaida na demu mbaya kwako kwa mwingine anamuona mkaliMapenz huwa na tabia ya kujengwa Huyo unayesema humpendi ukiwa nae anaweza kukufanya umpende hadi utajishangaa unataka kumuoa,
Kuwa makini tongoza demu mkali hata kama humpendi huwezi jua kesho yako
Amtongoze demu mkali kwakeMademu wote ni wakali, maana demu mkali kwako kwa mwingine anamuona wa kawaida na demu mbaya kwako kwa mwingine anamuona mkali
😅😅 aiseepia unayempenda akija kukuacha hii dunia utaiona SINGELI
Umeona eehUtalia na kusaga meno
Aah wapiMapenz huwa na tabia ya kujengwa Huyo unayesema humpendi ukiwa nae anaweza kukufanya umpende hadi utajishangaa unataka kumuoa
Kuwa makini tongoza demu mkali hata kama humpendi huwezi jua kesho yako
Sijakusoma mkuu
hiyo haiwezi kutokea kwangu aiseeMapenzi hayanaga fomula kamili mzee..unaweza jikuta umempenda mtu bila hata kuelewa umeanzaje anzaje.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hujaielewa mada mkuuHizi ni dalili za udomo zege principle za kutongoza ni lazima u risk kupoteza urafiki au upate mpenzi, hakuna safe zone kwenye kutongoza, shida huanza pale unapo mfanya awe kwenye pedestal lazima uwe na swaga za kilooser
Umesema ukweliMi binafsi nimeona ni bora kumtongoza yule usiyempenda. Ninayempenda kutoka moyoni sitakuwa tayari apunguze au akate kabisa urafiki endapo atanikatalia.
Ninayempenda kutoka moyoni sitakuwa tayari sitakuwa tayari kuona ananisaliti endapo atanikubalia ila nisiyempenda yeye afanye chochote kile mimi poa nikitaka show napiga akizingua poa siku akijileta nakula kimasihara
Hapana ni uhasiliaHizi ni dalili za udomo zege principle za kutongoza ni lazima u risk kupoteza urafiki au upate mpenzi, hakuna safe zone kwenye kutongoza, shida huanza pale unapo mfanya awe kwenye pedestal lazima uwe na swaga za kilooser