Ni bora kumiliki gari au nyumba?

Ni bora kumiliki gari au nyumba?

namshauri aanze na gari litampanua akili kwani lina chakula chake cha kila siku mafuta na totoz za chuo. apo ataondoa ukilaza. nyumba! kwani siku zote analala wapi.
 
Atekeleze vyote kitakachokuwa na umuhimu sana kwake akiache na kisicho kuwa na umuhimu akipige chini!
 
Nlitaka kumuuliza amechukua mkopo wa sh ngapi? Kama hivi vimkopo vyetu vya mil 6 mpaka 10 sidhani kama anaweza kujenga nyumba,namshauri kama anataka gari anunue kwanza viwanja kwa hela hiyo yote hata kama vitatu sehemu tofauti tofauti,ikipita miaka miwili auze kimoja anunue gari,kingine auze ajengee nyumba kwenye kiwanja cha tatu.

Practically hii inaweza kumtoa mtu sana tu, nimeishuhudia hii ila ilikua ni kiwanja kimoja baada ya kukiuza akanunua gari na viwanja vingine viwili vikubwa. Anasubiri tena auze kimoja ajenge kwenye kingine
 
Mwambie anunue VOGU aweke heshma mjini. Nyumba atarithishwa na baba ake
 
Mwambie asijenge wala asinunue gari, ila achukue chumba hotelini pale Sinza kisha awe anakodi Taxi akitaka kwenda kwenye mishe zake. Gari litamsumbua na nyumba pia miyeyusho tu. Hivyo vyote ukifa utawaachia watu ugomvi huku nyuma.
 
Nlitaka kumuuliza amechukua mkopo wa sh ngapi? Kama hivi vimkopo vyetu vya mil 6 mpaka 10 sidhani kama anaweza kujenga nyumba,namshauri kama anataka gari anunue kwanza viwanja kwa hela hiyo yote hata kama vitatu sehemu tofauti tofauti,ikipita miaka miwili auze kimoja anunue gari,kingine auze ajengee nyumba kwenye kiwanja cha tatu.

una simplfy maisha mkuu
 
Hahaha kakamata mkopo wa mil 600 (za zimbabwe?) Na hajui afanyie nini? Muamboe awatumie wazazi wake kama shukrani ya kumzaa na kumpeleka shule na atapata baraka mara mia (mil 600 x 100= 60,000,000,000)
mkuu kachukua milioni 600
 
Jamani kuna jamaa yangu kapata pesa ya mkopo sasa kanifuata nimshauri je ajenge nyumba au anunue gari? Wakuu karibuni kwa ushauri zaidi

Inategemea priority settings zake;usafiri ni muhimu;nyumba pia ni muhimu,Anachotakiwa kufanya yeye yu ktk mazingira gani,Kupanga ni kuchagua
 
Back
Top Bottom