Labda za Zimbabwe.
Ahahahahaahhaaaa raha sana
Labda za Zimbabwe.
Jamani kuna jamaa yangu kapata pesa ya mkopo sasa kanifuata nimshauri je ajenge nyumba au anunue gari? Wakuu karibuni kwa ushauri zaidi
Jamani kuna jamaa yangu kapata pesa ya mkopo sasa kanifuata nimshauri je ajenge nyumba au anunue gari? Wakuu karibuni kwa ushauri zaidi
Anataka mahala pa kulala au anataka usafiri wa kumtoa A kwenda B?kwa hiyo afanyaje bosi wangu
Mkuu nimecoment kama utani lakini believe or not gari ikitulia inakuzalishia nyumbaMkuu toa uzoefu wako wengine tujifunze kidogo kidogo!
Kwa mawazo haya unaweza ukawashawishi wengi. lakini Hebu nikuulize ; kwamfano ukianza Kununua gari ilhali huna kibunda kingine utakuwa unalipack wapi??😁Duh naona mawazo ya vilaza kweli hapa...yaani ujenge nyumba wakati huna gari?Huko site unaenda na boda boda au daladala?Mafundi hawawezi hata kukuita boss ilhali wao wana bodaboda zao na wewe unapanda dala dala
Kwa mawazo haya unaweza ukawashawishi wengi. lakini Hebu nikuulize ; kwamfano ukianza Kununua gari ilhali huna kibunda kingine utakuwa unalipack wapi??
Afanye vyote kwa pamojamkuu milioni 600 na anataka nyumba ya vyumba kumi au gari aina ya benzi