lukelo sakafu
JF-Expert Member
- Feb 19, 2015
- 2,938
- 517
- Thread starter
- #41
Labda za Zimbabwe.
mkuu kwani za zimbabwe zina nini?
Labda za Zimbabwe.
Jamani kuna jamaa yangu kapata pesa ya mkopo sasa kanifuata nimshauri je ajenge nyumba au anunue gari? Wakuu karibuni kwa ushauri zaidi
Bora gari mkuu, wasio na magari wengi wanatembea kwa miguu lakini
wasio na nyumba wanalala kwenye nyumba.
Jamani kuna jamaa yangu kapata pesa ya mkopo sasa kanifuata nimshauri je ajenge nyumba au anunue gari? Wakuu karibuni kwa ushauri zaidi
Wengi wanatembea kwa miguu, ni rahisi kumuona mtu anatembea kwa miguu kwa kukosaHii kaili.Ina maana wasio na magari hawapandi magari au??
honey moon ilikua bomba mkuu
Jamani kuna jamaa yangu kapata pesa ya mkopo sasa kanifuata nimshauri je ajenge nyumba au anunue gari? Wakuu karibuni kwa ushauri zaidi
una simplfy maisha mkuu
mwambie anunue gari apunguze gharama za gesti
Nyumba haitembei. Huwezi ifanya gari makazi ya kudumu. Nashangaa watu hulinganisha nyumba na gari. Nyumba ni nyumba na gari ni gari...
Kweli ulikuwa busy na honey moon maana mbwembwe zako hapaJF zilikuwa hazionekan.
Du hata mm nimeshindwa kuchangia
Gari kwanza hilo ndo litakuja kuzaa nyumba.
achukue mfano wangu.nimeweka nyumba nimepata mkopo.sasa nimenunua gari natesa mtaa mzima.anunue CHOMBO aondoe nukusi kwenye ukoo.
Jamani kuna jamaa yangu kapata pesa ya mkopo sasa kanifuata nimshauri je ajenge nyumba au anunue gari? Wakuu karibuni kwa ushauri zaidi