Ni black obama?

Moony

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2011
Posts
1,599
Reaction score
437
Sijui kama ni maskio yangu lakini badala ya Baraka naskia BLACK nami naamini wanamwita hivyo makusudi.

Au wenzangu mnasemaje?
 
Wazungu wana pronounce jina lake kama Buh'rack na kwa masikio ya haraka haraka unaweza kudhania umesikia black.
 
Wakubali wakatae ni black obama ni kiboko ya wathungu.

Ni kiboko ya wazungu anayetetea sera zinazokandamiza maskini wa nchi yake wakiwemo black americans wengi zaidi kuliko wazungu.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Hata akishindwa uchaguzi itakuwa poa Tangu awe rais wa Marekani amesaidia nini Africa? na watu weusi? Takwimu zinaonyesha zaidi ya nusu ya wafungwa nchi marekani ni watu weusi, ziadi ya nusu ya weusi hawana ajira na wanabaguliwa sana kwenye ajira chini ya Obama takwimu hizi zimeongezeka!Kenya hapo jirani na kwa baba yake amesaidia nini?ni mweusi kwa rangi ila tabia za kizungu!
 
Sijui kama ni maskio yangu lakini badala ya Baraka naskia BLACK nami naamini wanamwita hivyo makusudi.

Au wenzangu mnasemaje?

NOT TRUE.....

Ur confusing & mixing urself...... in place of R u put L & viceversa.....


NO ONE IS CALLING HIM THAT WAY..... UNAUMWA LABDA ... kapime upesi....

Ni Obama tu husikii vizuri au kuna vitu vingine..?? Kapime Nose, Ear & Throat...
 
Ha haa haaa!. Wewe ni kama wale wanaosifia vya wengine kwa kusema 'kwetu kuna nyumba nyingi za ghorofa'! lakini nyumba yako ni ya "mbavu za mbwa" OBAMA siyo MWAFRIKA, ni "African-American." Unataka msaada wa nini? Usaidiwe kwa juhudi zipi ulizofanya? .......... "It is very expensive to be poor. JITEGEMEE"......mwl JK Nyerere
 

Usiwe mpumbavu wewe! bajeti yetu inajitegemea kwa asilimia ngapi? kama sio kusaidiwa mmngeweza kulipa hata mishahara?? Mareekani chini ya Obama nilitarajia watoe fursa kwa mfano wa masomo kwa waafrica, fursa ya bidhaa zetu hasa za kilimo kuuzwa mareekani na kuja na uwekezaji mkubwa kama viwanda na teknolojia mbalimbali ili kutoa ajira kwa watu wetu, Marekani ni super power hivo wao kutusaidia kivyovyote sio kosa!!
 

Kwani nani kakwambia yule ni rais wa Africa hadi awatumikie waafrika?.,yeye anatumikia waliomchagua mkuu.,hebu tuachane na haya mawazo ya kimasikini,tuamke tufanye kazi na tuache kuombaomba.
 
Obama 4 president 4 the second term!
 
Hivi uchaguzi bado tu! Obama ni Freemason, accepted by Federal Members.
 

Mkuu...
unachojalibu kusema ni sahihi kabisa lakini si kwa Marekani ya hivi sasa...

Falsafa hiyo ilikuwa Enzi ya kina John F.Kennedy., "America for Africa"...

Nadhani unakumbuka vinzuri kipindi fulani Nchi ilivyokuwa katika hali ngumu ya uchumi...

walituletea ule unga wa Njano..wengi wetu walisema ni chakula cha farasi kule kwao...sina hakikia na ilo..

But all in all..Marekani ya sasa.,Msaada kwao ni kwa ile Nchi tu ambayo wao kwa namna moja ama jingine...

wanaona ina Maslai yao binafsi hasa kwa vizazi vyao vijavyo ( future value generation )...

Mfano...,Serikali yetu imepewa pesa nyingi za "MCA"..Millenium Challenge Account.., sio hivi hivi tu.!!...

Wenzetu walishaona mbali rasilimali zetu mpya za Hulenium, Gesi pamoja na Mafuta...

No free lunch at all.
 
NOT TRUE.....

Ur confusing & mixing urself...... in place of R u put L & viceversa.....


NO ONE IS CALLING HIM THAT WAY..... UNAUMWA LABDA ... kapime upesi....

Ni Obama tu husikii vizuri au kuna vitu vingine..?? Kapime Nose, Ear & Throat...


mhh........... thanks mr pilot
 
Wazungu wana pronounce jina lake kama Buh'rack na kwa masikio ya haraka haraka unaweza kudhania umesikia black.

ambe masika, logically wanajua utasema hivyo. Lakini wanasema BLACK
 

Sana sana yule ni American n sawa na kusema Diddy au rozay n mliberia au msenegal
 
Kwani nani kakwambia yule ni rais wa Africa hadi awatumikie waafrika?.,yeye anatumikia waliomchagua mkuu.,hebu tuachane na haya mawazo ya kimasikini,tuamke tufanye kazi na tuache kuombaomba.

Obama for American not for African au kenyan
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…