Ni biashara gani naweza ongezea kwenye Kinyozi changu

Xi jiping

JF-Expert Member
May 7, 2021
414
527
Nimefungua biashara ya kunyoa yaan kinyozi
Siyo berbershop bado haina hadhi hiyo
Lakini naona mauzo madogo je naweza nikaongeza biadhara gan hapo ili iwe inabust??
Watalamu wa biashara
IMG_3655.jpg
 
Mkuu,,,, si poa kwakweli

Ni huzuni kwa kweli
Wenzako ndio wanajiongeza hivyo. Pitia huu
 
Back
Top Bottom