Ni asilimia 10% tu ya wanawake duniani wenye Anorgasmia

Ni asilimia 10% tu ya wanawake duniani wenye Anorgasmia

Kwa kuanza ngoja nielezee neno Arnorgasmia, ni uweza wa mwanamke kufikia kileleni.

Ukweli Asilia:

- Mwanamke kamili huwa anafika kileleni kwa njia ya kufanya mapenzi (Not oral sex)

- Kama mwanamke hawezi kufika kileleni kwa njia ya kufanya mapenzi basi mwanaume wake sio skillful lover

- Mwanamke lazima afike kileleni ili afuraie kufanya mapenzi

------------------------------------------------------------------------------------------
Vitu vya kufanya wakati wa kufanya mapenzi ili kufanikisha zoezi
Relax, Communicate, Encourage, Enjoy, Fantasize, Arouse

Funguka zaidi mtindo upi unamfikisha mwanamke kileleni, kwani wakati mwingine mitindo huchangia.
 
Kila mtu na afanye kazi yake......
Kufika kileleni hakuna aliyewahi kuprove ukweli wake ni nadhalia tu.
Mungu hayuko ivo na sio mchoyo mbona mtoto hakuweka masharti magumu kama hayo.
Mi naamin ukiingiza dyudyu tu lazima kuna hali mwanamke anaisikia ambayo ni starehe kwake...mwanaume anapata ejaculation mostly sababu ya uzazi.
Na kama ingekuwa ni kileleni mbona wanamasterbati

Usijidanganye, tunafika Sanaa...
 
Hahaaa eti eldoret!
Ni kweli wanawake wanaojua raha ni wachache tena wa kwenye ndoa ndo kabisa!!
Hawajui km kuna kufika kileleni
.....mi kwakweli nisipofika ujue mhusika ume disturb akili yangu!
Though inachukua muda kidogo so lzm nimpe mwanaune space coz najua wanaume wasioweza kuunga hawawezi kumfikisha mwanamke kwa bao la 1 mpaka la pili unless awe anawemeza kuunga 2 in 1 burudani...faster sn unafika mdada!

He heee.. Kumbe Christine wayajua haya mambo vizuri eeh!! Bwa'she atakuwa anaenjoy mautundu yako sana...!!
 
What!?
Sikutaka kuchangia ila comment yako imenifanya nichangie!
Sisi wanawake tunafika kileleni vizuri sana kama Mwanaume.
Na umpate Mwanaume anaeelewa na anaejua kukuandaa lazima ufike!
Bahati mbaya wanaume wengi ni selfish ndo maana wengi wanagongewa wake zao na watu wa kawaida sn ht km anampa mkewe kila kitu!
.....dalili moja kubwa mwanamke akifika huwa hataki tena tendo!
Na kama unamjua mtu wako utajua tu ....issue sio kuingiza na kutoa tu mkuu!!?

I like u...
Sikubishii maadamu umeshasema ni huselfish Wa mwanaume ndio unasababisha... its OK ndio maana nmesema mungu sio mchoyo ivo mpaka afiche icho kilele....mie sio mzuri sana kwenye elimu ya uumbaji...I bet I'm selfish too.
 
May be mi sijawai kumfikisha mtu...aaahhh I'm selfish kama christine ibrahim alivosema tena ni tatizo la Me wengi...

Nop, sio tatizo la wanaume, ni tatizo la wanawake zaidi...wanawake huwa wanafikiria kumridhisha mwanaume while men are selfish in nature, wao wakimaliza wanageukia kule wanakoroma...

Orgasm kwa mwanamke iko kisaikolojia zaidi, so you have to be selfish to reach there.....Lazima ujijue mwili wako, unataka uguswe vipi, aibu pembeni, usifikirie if your man like or don't like the style ambayo inakuridhisha......

Sasa sisi wanawake wa kiafrika tunaoamini katika kumridhisha mwanaume ndo tunafeli...

Ila orgasm IPO....
 
Last edited by a moderator:

Kweli maana kuna mmoja nilikuwa naye alikuwa analazimisha sana style ya Squatting but mi nlikuwa sipend kutawaliwa mchezoni yaani mie Mzee wa Missionary position na Mbuzi kagoma...Basi nkimnyima iyo Woman on top atanuna kichinichini mi nkawa najiulizaga sana....kumbe ndio ivo
 
eti anorgasmia? eh..lol hizo ni za ajabu baana

zakutomba ni ngumu, za kulamba ni rahisi...

achana na kutomba zaidi, ipigepige na fumbo lako kiasi...
 
Kweli maana kuna mmoja nilikuwa naye alikuwa analazimisha sana style ya Squatting but mi nlikuwa sipend kutawaliwa mchezoni yaani mie Mzee wa Missionary position na Mbuzi kagoma...Basi nkimnyima iyo Woman on top atanuna kichinichini mi nkawa najiulizaga sana....kumbe ndio ivo

Kama ndo hivyo unamdhulumu mwenzio, siku akija kukutana na wavunja Nazi kwa ugoko usilie tuu....
Muache ajiachiee...
 
Kama ndo hivyo unamdhulumu mwenzio, siku akija kukutana na wavunja Nazi kwa ugoko usilie tuu....
Muache ajiachiee...

Mambo hayo ntamfanyia mke wangu......ye mbona ananidhurumu faranga zangu.kila siku vichomi mara weaving,tenge la Congo,dela la Indian,sijakaa sawa mara nataka niende mbeya bus sitaki nataka fast jet....mange kuna nguo kaleta nataka nkashoping....
Kwanini namie nisiwe mbinafsi namsubiri mkee wangu nmfanyie hayo mautundu....
 
Eiiiish!
Kiiiisa cha kuwa 10%???
Si bora niifunike tu iliwe na nyenyere!
Cha kujazana mijasho nini?
 
Nop, sio tatizo la wanaume, ni tatizo la wanawake zaidi...wanawake huwa wanafikiria kumridhisha mwanaume while men are selfish in nature, wao wakimaliza wanageukia kule wanakoroma...

Orgasm kwa mwanamke iko kisaikolojia zaidi, so you have to be selfish to reach there.....Lazima ujijue mwili wako, unataka uguswe vipi, aibu pembeni, usifikirie if your man like or don't like the style ambayo inakuridhisha......

Sasa sisi wanawake wa kiafrika tunaoamini katika kumridhisha mwanaume ndo tunafeli...

Ila orgasm IPO....
Watu huwa wanaamini kilele ni mwanaume!
Kumbe waaaala!
Hehehehehehe usisahau kuwa wanawake wengi pia hufanya tendo kutimiza wajibu!
Ukiuliza nn oh si nimeolewa!
Chaaaaa!
 
Back
Top Bottom