Na hii ndio sababu kubwa ya WATANZANIA KUTAKA MABADILIKO BAADA YA SERIKALI YA KINYONYAJI YA CCM KUSHINDWA KUSIMAMIA RASILIMALI ZA TAIFA HILI.....TUMEBATIZWA JINA LA UMASIKINI ILIHALI SISI NI MATAJIRI....
NCHI YENYE VYANZO VINGI VYA MAJI...WANANCHI WAKE WANAKOSAJE MAJI SAFI NA SALAMA....
HAKIKA TUNAHITAJI MABADILIKO.....
VIVA UKAWA
VIVA LOWASA....