Ni akina nani wanaoimaliza misitu ya Tanzania?

BAK

JF-Expert Member
Feb 11, 2007
125,012
2,000
Vigogo 'wavamia' msitu wa Sao Hill
Saturday, 11 December 2010 08:12

lukuvi%201.jpg

Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu-Sera,

Mussa Mkama
WAKATI biashara ya magogo ikiendelea kutikisa vichwa vya viongozi wa serikali, imebainika kuwa mawaziri, wakuu wa mikoa, wakuu wa wilaya, kada wa CCM, wakuu wa polisi na maafisa wa Takukuru ndio wanaomiliki vibali vya kuvuna magogo katika msitu wa serikali wa Sao Hill ulio wilayani Mufindi.

Vigogo 'wavamia' msitu wa Sao Hill
 
Byendangwero

JF-Expert Member
Oct 24, 2010
871
0
Wana Jf tukubaliane mafumbo hayatasaidia kuondoa tatizo la uporaji wa rasilimali za taifa. Hivyo Bubu jitahidi kuyaweka wazi majina ya wahusika wote ili wote tujue wabaya wetu.
 
Mshana Jr

Platinum Member
Aug 19, 2012
176,375
2,000
Vigogo 'wavamia' msitu wa Sao Hill
Saturday, 11 December 2010 08:12

lukuvi%201.jpg

Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu-Sera,

Mussa Mkama
WAKATI biashara ya magogo ikiendelea kutikisa vichwa vya viongozi wa serikali, imebainika kuwa mawaziri, wakuu wa mikoa, wakuu wa wilaya, kada wa CCM, wakuu wa polisi na maafisa wa Takukuru ndio wanaomiliki vibali vya kuvuna magogo katika msitu wa serikali wa Sao Hill ulio wilayani Mufindi.

Vigogo 'wavamia' msitu wa Sao Hill

Duu BAK !furaha yangu kukuona tena jamvini, hope it's all fine
 
Last edited by a moderator:

KikulachoChako

JF-Expert Member
Jul 21, 2013
16,411
2,000
Na hii ndio sababu kubwa ya WATANZANIA KUTAKA MABADILIKO BAADA YA SERIKALI YA KINYONYAJI YA CCM KUSHINDWA KUSIMAMIA RASILIMALI ZA TAIFA HILI.....TUMEBATIZWA JINA LA UMASIKINI ILIHALI SISI NI MATAJIRI....
NCHI YENYE VYANZO VINGI VYA MAJI...WANANCHI WAKE WANAKOSAJE MAJI SAFI NA SALAMA....
HAKIKA TUNAHITAJI MABADILIKO.....
VIVA UKAWA
VIVA LOWASA....
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom