Ni akili kubwa kwa mwanaume kutokuoa mapema

Ni akili kubwa kwa mwanaume kutokuoa mapema

Mimi huwa najiuliza hivi wanaume kinachowafanya waogope kuingia kwenye ndoa ni nini? After all wao ndiyo watawala na ndiyo vichwa vya familia, wana maamuzi ya mwisho na hakuna wa kuwapangia cha kufanya, wana uhuru wa kutosha, na wanaweza kufanya chochote wanachojisikia kwenye ndoa, tofauti na wanawake ambao kwao ni kinyume chake!

Mimi nilidhani wanawake ndiyo wanatakiwa waogope kuingia kwenye ndoa na siyo wanaume. Lakini nashangaa eti wanaume ndiyo wanaoongoza kwa kulalamika kuhusu ndoa.
Wanao ogopa kuoa ni wale waaminifu sana anajua kioa hatoweza kufanya ujinga wowote

nnje si kwasababu mke wke hamuoni ila kwasababu "ana mthamini mke wake" hivyo hatoweza

kufanya aina yeyote ya ujinga Nje ya ndoa,Wanajua nini maana halisi ya ndoa na mke na sheria

mpk na jinsi ya kuishi,kwa kuyafahamu hayo wanajipimaaaaaa mwisho uoga unawaingia "wanakausha"

wale ambao sio waoga unaowasemea wewe

watawala na ndiyo vichwa vya familia, wana maamuzi ya mwisho na hakuna wa kuwapangia cha kufanya, wana uhuru wa kutosha, na wanaweza kufanya chochote wanachojisikia kwenye ndoa

Hawa wao kuoa si tatizo kwasababu ni wazee wa mabavu na u dingi ndani ya nyumba,hawapangiwi

ratiba ya kurudi,anaamua atakacho anafanya atakacho yani hawa swala la kuoa kwao si shida kbsa

hawa unaowaita waoga ndio ma husband material wenyewe cause wameshajitathmini vya kutosha

wakaona lazima wapate muda kidogo kutafakari,na hili kundi likiingia kwenye ndoa "ndoa zao n forever,no breakups"
 
Single maza ndio wanazidi kutaabika tu.
 
Mawazo yangu:
Bila kusoma Comment za juu:

Kuoa mapema au kutooa Mapema.

Kwangu Kuoa Ni Maisha.
Ni kama mpangilio wa Maisha.
Biblia/msaafu umeandika,.

Usipooa sio kwamba hautakuwa na Maisha, yatakuwepo, ila Kuwa na Mke/mume ni vema zaid.

Kwahiyo Akili kubwa ni Mwanaume kuoa.

Kuoa Mapema ni vyema zaidi:



Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Not in Africa my dear. In Africa a woman is nothing to a man.

Isn't that just what and how African men say and act respectively??
Wanasema tu
Ila hamna kitu kinapelekesha wanaume kama wanawake,
 
Wanao ogopa kuoa ni wale waaminifu sana anajua kioa hatoweza kufanya ujinga wowote

nnje si kwasababu mke wke hamuoni ila kwasababu "ana mthamini mke wake" hivyo hatoweza

kufanya aina yeyote ya ujinga Nje ya ndoa,Wanajua nini maana halisi ya ndoa na mke na sheria

mpk na jinsi ya kuishi,kwa kuyafahamu hayo wanajipimaaaaaa mwisho uoga unawaingia "wanakausha"

wale ambao sio waoga unaowasemea wewe



Hawa wao kuoa si tatizo kwasababu ni wazee wa mabavu na u dingi ndani ya nyumba,hawapangiwi

ratiba ya kurudi,anaamua atakacho anafanya atakacho yani hawa swala la kuoa kwao si shida kbsa

hawa unaowaita waoga ndio ma husband material wenyewe cause wameshajitathmini vya kutosha

wakaona lazima wapate muda kidogo kutafakari,na hili kundi likiingia kwenye ndoa "ndoa zao n forever,no breakups"
Sawa kabisa mkuu. Ila hata humu JF huwa naona baadhi ya wanaume ambao husema kuwa wao hawawezi kuendeshwa wala kupangiwa chochote na mwanamke lakini hao hao husema humu humu kuwa wanaogopa kuoa sasa hao nao wanaogopa nini.
 
Uhuru wa bendera kivipi mkuu ?? Kwamba wewe mke wako ana uwezo wa kukuzuia kufanya unachotaka kufanya ??
Hawezi kunizua straight, ila kuna a lot of distractions, bila kusahau kuaga aga na kutoa toa taarifa kama una toa report kwa boss...



I want to live my life,the life to the fullest... with no limit except sheria za nchi(both Kubwa na by laws)

Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa mambo ya tangu ukiwa mdogo unakua under wazazi,shule walimu afu ukiwa mtu mzima uwe na mama mwingine tena for the rest of your life ,sasa sijui lini utaishi maisha yako ni ufalaa,after all kila unachokipata ndoani unaweza kukipata usipooa ..so why niingie gerezani
 
Wanaume wa siku hizi mnakwama wapi sijui?
Mnaogopa hadi kuwa wanaume!!!???
Nilitaka niendelee kusoma sms naona wanaojibu bado hawaja machua.


Vijana wenzangu eee mnataka hata wamama watushangae? Mnaona point ya Mama D?

Unakuwaje mwañaume unaogopa kukaa na mwanamke, ujenge,akuzalie watoto, muigage dunia mngali mnawatoto wakubwa??

Mnataka mje kuzaa muache wajane? Watoto wachanga?? Bite kabisa hawa watoto wakiume.

Life start at 40 sio kwa kuoa mazee
 
To th
Hawezi kunizua straight, ila kuna a lot of distractions, bila kusahau kuaga aga na kutoa toa taarifa kama una toa report kwa boss...



I want to live my life,the life to the fullest... with no limit except sheria za nchi(both Kubwa na by laws)

Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa mambo ya tangu ukiwa mdogo unakua under wazazi,shule walimu afu ukiwa mtu mzima uwe na mama mwingine tena for the rest of your life ,sasa sijui lini utaishi maisha yako ni ufalaa,after all kila unachokipata ndoani unaweza kukipata usipooa ..so why niingie gerezani
The fullest shutfucker
 
Nilitaka niendelee kusoma sms naona wanaojibu bado hawaja machua.


Vijawa wenzangu eee mnataka hata wamama watushangae? Mnaona point ya Mama D?

Unakuwaje mwañaume unaogopa kukaa na mwanamke, ujenge,akuzalie watoto, muigage dunia mngali mnawatoto wakubwa??

Mnataka mje kuzaa muache wajane? Watoto wachanga?? Bite kabisa hawa watoto wakiume.

Life start at 40 sio kwa kuoa mazee
Kwani haya yote huwez kuyafanya ukiwa haujaoa?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kuoa ni jambo jema japo sijaoa bado lakn je unamuoa nani kaitka mazingira gana maana kuitwa baba ni rahisi kutimiza wajibu ni jambo lingne kabsa na pia wanawake nao saiv imekuwa changamoto sana ndo maana vijana weng wanaogopa ndoa sana maana pamekuwa hakuna imani na ndoa hzo sababu wengi wanaona kwa mihemko si mapenz ya kweli yakishabadilika ndani ndo jumbe na posti zinakuwa nying sana zamai mambo haya haykuwepo na ndoa hadi leo zipo sio kama hakuna matatizo ila yalikuwa hayawekwi hadharani saiv imekuwa kama jambo la kwaida sana ndo maana ndoa zimekuwa tabu sana saiv ila ni jambo jema kuoa au kuolewa
 
Mimi huwa najiuliza hivi wanaume kinachowafanya waogope kuingia kwenye ndoa ni nini? After all wao ndiyo watawala na ndiyo vichwa vya familia, wana maamuzi ya mwisho na hakuna wa kuwapangia cha kufanya, wana uhuru wa kutosha, na wanaweza kufanya chochote wanachojisikia kwenye ndoa, tofauti na wanawake ambao kwao ni kinyume chake!

Mimi nilidhani wanawake ndiyo wanatakiwa waogope kuingia kwenye ndoa na siyo wanaume. Lakini nashangaa eti wanaume ndiyo wanaoongoza kwa kulalamika kuhusu ndoa.
Ndoa sio lazima mamii kwenye zama hizi za uovu
 
Write your reply...NAHUNGA MKONO HOJA MTOA MADA WALIOKWENYE NDOA WANAJUTA WANAJARIBU KUFOSI WA KUFANANA BAO
 
Swalama wanajamvi, baada ya kuongea na jamaa zangu kadhaa nimegundua wanaume wengi kwenye ndoa hawako na net positive, hapa namaanisha ndoa ni kama biashara yaani kuna mapato na matumizi sasa kinachobaki ndo faida au hasira.

Lakini inaonekana wanaume wengi kwenye ndoa wako na hasara. Baada ya tafiti nineona wengi walikua kind trapped kuoa bila kuangalia gharama ya kuoa au faida ya kile anachopoteza kwa kuoa. Ndo maana kuna friends wangu wako nje ya TZ kila mwenzetu akioa wanacomment "another fool has fallen into the trap[emoji38][emoji38]?

So before marriage wanaume inafaa kufanya tathimini pana ya kwanini unataka kuoa. Kama unaweza kupata maziwa na nyama nikwanini ufuge ng'ombe?
Wanawake wa siku hizi wanataka kuoelewa tu ..yaani no matter what .. wao ni ndoa tu mengine yataeleweka ,espcially mwanamke akishafika 30years basi anachanganyikiwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanaume wa siku hizi mnakwama wapi sijui?
Mnaogopa hadi kuwa wanaume!!!???

Wewe na wadada wengine wa jf mtamponda mtoa Mada kwasababu mnajua ndoa inawafaidisha nyie wanawake kwa kiasi kikubwa sana, ilhali mwanaume atafaidika kwa kiasi kidogo mno na ndoa mama D
 
Back
Top Bottom