Ni akili kubwa kwa mwanaume kutokuoa mapema

Ni akili kubwa kwa mwanaume kutokuoa mapema

Mimi huwa najiuliza hivi wanaume kinachowafanya waogope kuingia kwenye ndoa ni nini? After all wao ndiyo watawala na ndiyo vichwa vya familia, wana maamuzi ya mwisho na hakuna wa kuwapangia cha kufanya, wana uhuru wa kutosha, na wanaweza kufanya chochote wanachojisikia kwenye ndoa, tofauti na wanawake ambao kwao ni kinyume chake!

Mimi nilidhani wanawake ndiyo wanatakiwa waogope kuingia kwenye ndoa na siyo wanaume. Lakini nashangaa eti wanaume ndiyo wanaoongoza kwa kulalamika kuhusu ndoa.
Ijue nguvu ya mwanamke(not in a bad way!)

It takes two to tango
 
Be proud of your father that he did not marry your mother.

Mwanaume majukumu....sio uoga, Ukikosea mke usije kutupigia makelele eti wanawake wote ni mbwa.

In Vino Veritas (In Wine Lies the Truth)
 
Hao wenye kuogopa kuingia kwenye ndoa ni WAJINGA wasio kuwa na fikra pana zaidi ya kuwaza hapa na ufuska.

Bali wanakosa sifa za Uanaume. Hakuna mwanaume kamili anae ogopa kuoa, ndio maana huwa tunasema hivi "Kwenye Wanaume kuna Wanaume".
Oohh nimekupata
 
Ijue nguvu ya mwanamke(not in a bad way!)

It takes two to tango
Not in Africa my dear. In Africa a woman is nothing to a man.

Isn't that just what and how African men say and act respectively??
 
Mimi huwa najiuliza hivi wanaume kinachowafanya waogope kuingia kwenye ndoa ni nini? After all wao ndiyo watawala na ndiyo vichwa vya familia, wana maamuzi ya mwisho na hakuna wa kuwapangia cha kufanya, wana uhuru wa kutosha, na wanaweza kufanya chochote wanachojisikia kwenye ndoa, tofauti na wanawake ambao kwao ni kinyume chake!

Mimi nilidhani wanawake ndiyo wanatakiwa waogope kuingia kwenye ndoa na siyo wanaume. Lakini nashangaa eti wanaume ndiyo wanaoongoza kwa kulalamika kuhusu ndoa.
Ndoa ni upendo uliobakia baada ya kuchokana kingono, ndoa ya kweli huanzia moyoni
 
We endelea tu na hayo mawazo yako ukifikisha miaka 37-40 yani hata kama uwe na pesa nyingi ila kama hujaoa utaonekana mtu wa ovyo tu.

Sent From Galaxy S20 Ultra
 
We endelea tu na hayo mawazo yako ukifikisha miaka 37-40 yani hata kama uwe na pesa nyingi ila kama hujaoa utaonekana mtu wa ovyo tu.

Sent From Galaxy S20 Ultra
Atajikuta mtoto wa kwanza ana 20 years, yeye ana 65

Ndo atajua wenzake tulioa au tulioana

In Vino Veritas (In Wine Lies the Truth)
 
We endelea tu na hayo mawazo yako ukifikisha miaka 37-40 yani hata kama uwe na pesa nyingi ila kama hujaoa utaonekana mtu wa ovyo tu.

Sent From Galaxy S20 Ultra
Yupo mmoja hapa ana 47 hana mke wala mtoto ana maisha ya hovyo hana maendeleo yoyote kazi kubadilisha wanawake tu, majirani wanasema ana laana si bure
 
Mleta mada uko sahihi......., hapa ni suala la KUOA,,kijana wa kiume/MWANAUME, bfr get kuoa ni lazima utafakari the coming life, new life......unaenda kuanzisha familia.....ambayo wewe ndie dereva mkuuu.....maamuzi yote na mustakabali wa hiyo famlia yako miknoni mwako....so wako wanaooa kwa kudhani ndoa ni sex and utamu utamu tuu.....wanasahau chakula na mpishi ni vyake,,,,kwamba ukishakula chakula, na mpishi ukamla......unatakiwa uhakikishe vyote vipo....mpishi ana afya njema, anavaa vema na anapendeza haswa akupendeze wewe....kweli vijana wa siku hizi wengi wako feki.....wanaoa kwa kukimbilia bila kujitathmini.......pia wanaoa bila kujiridhisha huyu ni mwenza halali yangu kweli.....JUST LOVE NAMPENDA ANANIPENDA....wanawake wao kikubwa ni SECURITY yao.......wachache huogopa kuolewa.......
NASISITIZA KUOA NI LAZIMA....ila usililazimishe....litengeneze......ndoa ni taasisi njema sana DUNIANI.
 
Faida ya kuoa mapema unakuja kuiona wakati una miaka 50 na mtoto wako kwa kwanza ana miaka 10 hapo ndio utagundua uvulana wako ulikuwa ukimfanyia nani hata mwenyewe utaanza kuwashauri vijana waoe mapema.
 
Mimi huwa najiuliza hivi wanaume kinachowafanya waogope kuingia kwenye ndoa ni nini? After all wao ndiyo watawala na ndiyo vichwa vya familia, wana maamuzi ya mwisho na hakuna wa kuwapangia cha kufanya, wana uhuru wa kutosha, na wanaweza kufanya chochote wanachojisikia kwenye ndoa, tofauti na wanawake ambao kwao ni kinyume chake!

Mimi nilidhani wanawake ndiyo wanatakiwa waogope kuingia kwenye ndoa na siyo wanaume. Lakini nashangaa eti wanaume ndiyo wanaoongoza kwa kulalamika kuhusu ndoa.
Jidanganye,


Huo ni Uhuru Wa bendera tu,kuoa ni utumwa tu hasa ukiwa kijana ni ulofa kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yupo mmoja hapa ana 47 hana mke wala mtoto ana maisha ya hovyo hana maendeleo yoyote kazi kubadilisha wanawake tu, majirani wanasema ana laana si bure
Haha ndo hvyo. Hawa kaka zetu wanadhani kuoa ni kumfanyia favour mwanamke as if kwao sio muhimi. Lakini mke, watoto ni utajiri wa mwanaume. Ni vitu vinampa mwanaume heshima hata kama hana pesa akiwa na mke na nyumba yake ataheshimika.

Sent From Galaxy S20 Ultra
 
Sasa hivi ndoa haina thamani kwa sababu tendo la ndoa watu wanalipata hata nje ya Ndoa tu.hii ni sababu kubwa sana.

Kwa sababu tendo pekee kwenye ndoa ambalo hata mama yako huwezi kufanya nae au ukalipata kwa mama ni Ngono peke yake,ila matendo mengine yote tunayapata hata kwa mama.

Mfano
Kufua mama anaweza kutufulia
Kutyoikia anaweza
Kutuhudumia kwa pesa anaweza
Kutuendea dukani anaweza
Kubadilishana mawwzo anaweza
N.k

Sasa haya mambo ikiwa yapo nje ya ndoa basi hata ndani ya ndoa pia yapo,na kuwepo kwake haina maana kwamba yatakuwa ni yatofauti.ni yale yale tu,kwa hiyo ni dhaahiri ukiingia kwenye ndoa basi haya mambo yataendelea kuwepo kama kawaida.

Ila tendo la ngono ndilo ambalo linashikilia ndoa kwa asilimia kubwa sana kwa sababu huu ndio muingiliano wa kimwili,

huwezi kupika pamoja na mtu ukasema mumeingiliana kimwili,huwezi kukaa pamoja na mtu darasani ukasema mumeingiliana kimwili,huwezi kula pamoja na mtu ukasema umeingiliana kiwmili.

Tendo pekee ambalo ni tafsiri ya muingiliano wa kiwmili ni tendo la ndoa,na hapo ndio kuna maana ya mwili mmoja,wanandoa kuwa mwili mmoja haina maana ya kule kulala kitanda kimoja,kama ni hivyo basi rafiki zetu wengi tuliolala nao pamoja tumeingiliana nao kimwili.

Kwa hiyo kinachowafanya wanandoa kuwa na mwili mmoja na kuwa na muingiliano wa kimwili basi hiko ndicho konashikilia jambo zima la ndoa kwa ailimia kubwa sana.

Wote wanaobeza ndoa watakuambia kuwa wanawake wako wengi sana gonga tembea au zalisha potea,wamesahau kuwa ndio maana ndoa ikawepo ili upate hayo mambo yaani ngono na watoto hyo ni mambo makubwa.

Sasa wanaopita mkato wanabeza ndoa,wengine wanakaa na wanawake kwa kuwafuga kabisa alafu wanasema hakuna haja ya ndoa wakati kasahau kwa kufuga kwake huyo mwanamke hayo ndio maisha ya ndoa hivyo yeye anachopinga sio ndoa bali anapinga ile sherehe ya siku ya ndoa na kukabidhiwa mke.

Ndoa ni maisha ya watu wawili waliokubaliana na kutambulika kisheria.

Sasa ili mtu aone thamani ya ndoa AHAKIKISHE HAWI NA MCHEPUKO POPOTE,kwa sababu unapokuwa na mchepuko jua kuwa unaenda kumuona mkeo hana thamani,na hapo utanuona mzigo tu ila utaishia kusema kimoyomoyo.

Wengi waliooa wamejikuta wakijilaumu kwa sababu wameoa alafu bado wana micheouko kibao tu na wanaipiga kama kawaida,wakati huo alidhani kuwa mke wake atakuwa na kitu cha tofauti mno na wale michepyko kumbe sio sawa.

Sasa akioa anaona kuwa maisha ni yale yale,anavaa vile vile,anakula kama zamani,ngono anafanya na wanawake wa nje ya ndoa,sasa mke atakuwa na faida gani kwako ?

WANAWAKE WAKIANZA KUJIHESHIMU NA KUJIZUIA NA ZINAA WAKASUBIRI WAKIOLEWA NDIO WANATOA PENZI BASI NDOA INGEKUWA NA THAMANI SANA.
 
Back
Top Bottom