happiness win
JF-Expert Member
- Aug 30, 2011
- 2,461
- 1,394
Hapa tunadiskasi nini ndugu?
Ufanyaji kazi wa mbunye na dushelele ama?
^^
Na bila hicho dunia ingekuwa mahali pema
^^
Watumiaji wanakitumia vibaya, tofauti na hivyo tungeishi kwa raha na amani
Kaka, nilikuwa nahitaji kucheka tu leo... naona nimefanikiwa maana umeshaanza kunichekesha
Natafakari kiungo kinachofanya mtu aitwe mwanamke jinsi Mungu alivyokiumba.. ni ajabu. the way kimetengenezwa na ufanyaji wake wa kazi pamoja na umbile lake; hakika sifa apewe Muumbaji. Natafakari kinavyowachanganya watu, wengine wanajinyonga, wengine wanagombana na ndugu zao na majanga kibao .... kweli ni ajabu.. kiungo kilichoumbwa kama msaidizi kwa kiungo kingine (cha Adamu) ona kinavyofanya jukwaa hili lijae ....... Wewe unasemaje? hebu wenzangu tafakari kazi za viungo mbalimbali mwilini mwako.... kisha tumpe Mungu Muumbaji utukufu.

Hahahah!!!
Mimi nilikuwa nauliza nijue tu ili nami nidiskasi nawe...:smile-big:
naona usiku wa leo haukua mzuri. kila thred leo inakuja na kituko chake, ngoja tuone hadi jioni itakuaje ila nahisi leo hela ya kitoga inaweza isipatikane
...mh, ngoja 'nikitoe' zangu..hapa hapanifai sijui nimefikaje kwanza!!!lol!!!