Latrice
JF-Expert Member
- Jan 30, 2020
- 2,389
- 2,369
Ngoma ya Ibraah ft Harmonize ni sawasawa na kusikiliza Kwangwaru ya Harmonize ft Diamond!Siku hizi Harmonize amejitahidi kuacha kuiga sauti ya Diamond.
Sema Diamond nae hana sauti moja
Ngoma ya Ibraah ft Harmonize ni sawasawa na kusikiliza Kwangwaru ya Harmonize ft Diamond!Siku hizi Harmonize amejitahidi kuacha kuiga sauti ya Diamond.
Sema Diamond nae hana sauti moja
Afrobeat.Tanzania kuna ladha mbalimbali za mziki kama vile
A. Bongo flava
B. Bongo hip hop
C. Bongo Boringo au mziki wa dansi
D. Bongo Crank
E. Mchiriku
F. Singeli n.k n.k
Sasa huwa najiuliza ila sipati majibu.
Hivi WCB wanaimba aina gani ya Muziki hapa nchini ?
😀 😀 😀Style ya jeje
Wewe una bias naoMatusi style Zigzaga
Unauelewa lakini mziki wao ?Afrobeat.
Mziki wao ni wa Hegelian dialectic.Unauelewa lakini mziki wao ?
Hahahahaaaaa mbona Pepe kale?Ukiona hupendi ujue miziki yao haikuhusu wewe mzee kasikilize za kina pepe kale.
AmabokooooHawana aina maalumu, wao bora liende tyuuuh. Khaaaaa
Mamaaaaa kajikataaaaaaaaaa"shashi kinkilikiii kunkunku maaamaaaa" [emoji118][emoji118]