Ni aibu TBC1 kutorusha mechi za Timu ya Taifa. Uzalendo wenu upo wapi?

Hili ni shirika ila adi leo mitambo mibovu sana na wanaegemea upande 1 tu awana jipya wamepitwa mbali sana na TV1
 
Mbona UBC Uganda na Rwanda TV wanaoneshaga timu zao za taifa zikicheza? Kuna nini nyuma ya pazia.?
 
Back
Top Bottom