PRINCE CROWN
JF-Expert Member
- Feb 12, 2013
- 5,210
- 4,172
Nijambo la Kushangaza sana kwa shirika letu la utangazaji Tanzania TBC1.
Kwa kushindwa kuwapa watanzania fursa ya kuona matangazo ya moja kwa moja pindi Timu yetu ya Taifa inapocheza.
Tofauti na Wenzetu wa Kenya,Uganda,Rwanda, na Zanzibari.
Sasa najiuliza ikiwa chombo hiki tunakilipia kodi zetu na kinaendeshwa kwa kodi zetu kinashindwaje kutimiza wajibu wake kwa wananchi?
Ni jambo la haibu kuona shirika hili lina bagua mambo ya kuonyesha.
Linajikita kuonyesha mambo ya serikali LIVE Lakini linashindwa kuwapa watanzania mechi za timu yao ya Taifa LIVE??
Hapa nadhani kauli ya Mh Rais kwamba vyombo vya habari viwe na Uzalendo, nadhani TBC1 Wangeanza kuonyesha njia ya kuanza kuwa wazalendo Mnatukera sana wananchi.