dedon
JF-Expert Member
- Jul 6, 2015
- 1,507
- 2,059
mm sion tatzo coz watu wanatumia as social networks kucommunicate na friends wake so ww kama mme/mke kuchangia mijadala kuna tatzo kwan???Turudi kwenye mambo ya ndoa sasa, unakuta mume akipost kitu fb, mke ana-like au kucomment kiroho safi tu. Au wakati mwingine vice versa is true.
Kweli umeoa /umeoa na unamwona mwenzio Facebook na bado tu unajisikia amani??Duh.
Bora mmoja awe fb, mwingine asiwepo kabisa. Ni heri awe anadeal na JF tu kuliko kukutana na mke/mume wako fb. Watoto nao wako fb.Kazi mtindo mmoja.
Tubadilike jamani,fb siyo nzuri sana.
mme/mke kajipiga pics yuko ofisin kapost ww umeiona ukaipenda uka like kuna tatzo hapo au ulitaka kila pics ije kwako uisifie ndo aweze kuipost??