Asabaya
JF-Expert Member
- Feb 12, 2012
- 1,310
- 419
Mwanamke kiuno,halo halo 😂😂
Kiuno na njaa hata Sio mwake,ale ashibe alichopikiwa na mkewe , kiuno Siri Ya chumbani...🙊

kuna siku nililala kwa rafiki yangu, asubuhi nimeamka nikawa napika chai sasa hakuna iliki wala chochote, ikabidi niagize.
Zilivyokuja nikawa naandaa chapati, nikamwambia weka tu mie wacha niharakishe na hizi chapati tuwahi maana tulikuwa na safari.
Kumbe bishosti hajui hata iliki inawekwa muda gani.
Nimekuta chai imewekwa kwenye chupa iliki ziko kama zilivyo, namuuliza vipi, anasema hajui kupika chai na viongo.
Kama hujapewa hadi saa hizi, bora uende jumuia. Mie navizia hapa ikisimama tu nakwea
kuna siku nililala kwa rafiki yangu, asubuhi nimeamka nikawa napika chai sasa hakuna iliki wala chochote, ikabidi niagize.
Zilivyokuja nikawa naandaa chapati, nikamwambia weka tu mie wacha niharakishe na hizi chapati tuwahi maana tulikuwa na safari.
Kumbe bishosti hajui hata iliki inawekwa muda gani.
Nimekuta chai imewekwa kwenye chupa iliki ziko kama zilivyo, namuuliza vipi, anasema hajui kupika chai na viongo.
mwanamke jiko na kuoga over.

hizo chapati au yale mawe ya kujengea ukutani.??
mie sijui na sioni Aibu, i think kupika ni kipaji nacho kama kuchora ...mnh huonagi kuna wengine wanafundishwa na bado wanavurunda?????:lol:
Na wewe kama haujapewa bado, aga uende site. Hamna kitu hapo kaka, umeshakopwa na utarushwa tuu.
Kama sifa kubwa ya mke ni kuwa Mpishi mzuri jikoni basi nawashauri kaka zangu wasioe waajiriwa wala wanaotafutia pesa mbali na nyumbani.
Maana hata akijua kupika pishi lake ni adimu
Mchana hayupo nyumbani, jioni mnaingia wote mida mibovu
Chakula chake jumapili tu