Ni aibu kwa wadada kutokujua kupika

Ni aibu kwa wadada kutokujua kupika

sasa kama hujui ndo wakati wako huu wakujifunza

Huwa siwaelewi nyie mnaosema hamjui kupika kwanza mnawaaibisha mama zenu wanaonekena wamefail kutimiza moja ya majukumu yao kama mama LA kutomfundisha bint kupika....na nikickia MTU Wa ivo huwa nahis uwezo Wa darasan mmmh
 
Nawashangaa sana kazi ya mwanamke si upishi wala udobi wala usafi
Kazi ya mwanamke ni kuliwaza mwanaume. Kupika ni profeshno za watu. Wamekesha madarasani kwa ajili hiyo. Tujifunze kuheshimu utaalamu wa wengine
 
Back
Top Bottom