Asprin
Platinum Member
- Mar 8, 2008
- 68,395
- 96,718
Huyu Valentine ndo amekufanya mpaka mida hii hujalala?Hivi wewe lakini! Ujue mume akienda kwa nyumba ndogo huwa anakumbuka upishi nyumbani anarudi mbio? Shauri yako
Ntakuchapa.
Huyu Valentine ndo amekufanya mpaka mida hii hujalala?Hivi wewe lakini! Ujue mume akienda kwa nyumba ndogo huwa anakumbuka upishi nyumbani anarudi mbio? Shauri yako
Huyu Valentine ndo amekufanya mpaka mida hii hujalala?
Ntakuchapa.
Hehehe ndo namsubiri valentine arudi. Akikumbuka breakfastee yangu lazma arudi mbioo.
Huyu Kongosho kila siku chai ya rangi na mkate, sijui atakumbukwa lini
hizo chapati au yale mawe ya kujengea ukutani.??
We unajua kupika?
Unamwonea bure Kongosho wangu. Ye zake kongoro na supu ya mkia.
Kupika wapi na wapi wakati kongoro linapatikana bar...
Usifanye mchezo Kesto Laiti ikifanya mapenzi na Kongoro.
Hebu nidai out. Mie kupika sio hobby kabisa, japo huwa napika.
O level I had to take additional maths just to avoid somo la upishi.
Na wala sioni aibu kusema upishi is not my thing.
Leo napika dinner maalum kwa ajili yetu
Ukikutana na mwanamke anayejua na kupenda mapishi...
Akikupikia hata chai tu walahi lazima ushukuru kwa sala zote...
Hahaha kongoro na ulimi havipikwi, vinaandaliwa eeh.
Sasa hujaona konyagi na samaki wa kupaka na vegetable chapatis. Weeh mpe bichwa tu mkeo huyo
Nisipompa bichwa ntanyimwa morning glory ya valentine....
Kama hujapewa hadi saa hizi, bora uende jumuia. Mie navizia hapa ikisimama tu nakwea
Hahaha.... Imebidi nicheke tu.
mie sijui na sioni Aibu, i think kupika ni kipaji nacho kama kuchora ...mnh huonagi kuna wengine wanafundishwa na bado wanavurunda?????:lol:
Kama hujapewa hadi saa hizi, bora uende jumuia. Mie navizia hapa ikisimama tu nakwea
Hahah huwa napenda tu ukiaamua kutenga dakika chache za kuandika jeifu...