Ni aibu kuu wazazi wako wakulee halafu bado waje walee tena mkeo na watoto wako

Baba yangu alinambia "Hizi Mali zote unazoziona ni za kwangu hazikuhusu, hapa nyumbani kwangu fanya kama hosteli hv unakuja na kuondoka" kwa kua vilikua akili za utoto nikahisi ananionea namshukuru Mungu hata nilipomaliza college pamoja na changamoto za ajira sikurudi home asante mshua ishi maisha marefu......
 
Back
Top Bottom