Ni aibu kumkashifu kiongozi wa nchi yako ukiwa umejificha ugenini

mbona huyo jamaa anazo hizo clip zaidi ya mbili u tube...

kimtokacho mtu si najisi najisi ni kimuingiacho....
 
K
Toa ufafanuzi, weka na ushahidi. Tuone kama ulichoandika ni kweli au unafanya propaganda hapa
 
 
Aliyetukana wanafunzi wa UDOM kwamba vilaza hivi alikua nani vile aliyesema kuna mawaziri wapumbavu alikua nani vile anaekunya kuku akinya bata kaarisha
 
Nendeni Marekani mkamkamate....si mna jeuri hiyo?

No matter how evil money is,but being broke is not holly.
 
Kina T.L Marandu wamesema mpaka rais Magufuli kaanza kujirudi suala la kuvunja nyumba Morogoro Road.

Anawaruka aliowatuma kwa kusema hana habari.

Kitu kipo kwenye headlines miezi na miezi, rais wa nchi hana habari kivipi?

Ina maana wasaidizi wake wote hawaoni? Yeye mwenyewe hasomi habari?

Washaanza damage control.
 
Kwa hiyo kumbe umetumwa na Lowassa ili kulipiza kisasi kwa yeye kuambiwa kajinyea? Halafu wewe unakemea kama nani hasa? Kwa nini kama mwanaume kweli na usiyeogopa Mamlaka usije kutukania huku Tanzania badala yake umejificha huko ughaibuni unabweka kama kijibwa!! Halafu unajisifia kwa ushamba wa hali ya juu eti nawinda swala mara oh mkandarasi wa umeme wa hali ya juu wakati English yenyewe unachapia tu! Poor you! Hao uliowataja wana faida gani kwangu na kwa Tanzania? Endelea kutumika huko ughaibuni ukijidai ni shujaa uliyejificha chumbani!!
 
Naomba nijaribu kusaidia kukupunguzia hasira kuhusu clip hii inayotembea mtandaoni.
Katika masuala ya kiimani na yanayomhusu Mungu wengi tunaamini ya kuwa unaweza ukawa mchafu sana lakini ukatakasika na kuwa msafi baada ya matendo fulani.Waislamu wanaorudi toka Hijja wanarudi wakiamini wamesafishika na dini nyingine kadhalika.
Katika maisha ya dunia kusafishika jumla hakupo hata kama utabadili matendo yako.Godbless Lema aliishi Nairobi na kuna habari za kuwa alishiriki hata katika wizi wa magari (sina Uhakika).Kwa muonekano wa leo wa Godbless Lema kiimani inaonekana ya kuwa ni mtu safi lakini ni vipi kwa watu walioibiwa magari yao huku Nairobi?
JPM katika safari yake ya siasa amepitia hatua nyingi na nyingine ni kinyume ya kile anachokihubiri sasa.Inawezekana kwa Mwenyezi Mungu JPM huyu ni tofauti na yule aliyefanya upendeleo akiwa Waziri lakini kwa wale tuliosoma makala za uuzaji wa nyumba za serikali katika gazeti la Rai tunamuonaje JPM?
Hitimisho,katika maisha haya huwezi kupendwa na kila mtu na wakati mwingine yaacheni mambo yapite.Huyo bwana kazungumza,mema yachukueni mabaya muachieni mwenyewe.
JPM ndiye Raisi!!
 
Nyerere Alikuwa Mwanamme au La? Kwanini Miaka ya 65-80 Asingeenda Johannesburg kufanya Press conference ya Kupinga Utawala wa Makaburu? Mimi sijatumwa na Lowassa Je wewe Umetumwa na Bashite au Magufuli? Nachapia English sio? Bado Nakazana Nipate PHD pengine nitaweza kama hivi!
Usijifanye
 
HAYA BWANA UMESHINDA. BAKI HUKO HUKO KWENU MAREKANI. SISI TUNASONGA MBELE
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…