Me I and my self
JF-Expert Member
- Sep 16, 2016
- 4,029
- 8,637
Ni aibu kujipa matumaini ccm itashikiria nchi muda ujao
Ni aibu kubwa kukimbia ukweli wa mmoja wa viongozi wa juu wao MACCM.
Da! Umejitahidi kuandika lakini bado kazi unayoAnaishi gizani mpaka leo ngojea uteuzi lKini uwe tayari kukubari kutka watu na kukubari kujichekesha kwa kila atakachosema kama yeye anapenda wimbo mwanaume suruwali kwanini asikupende wewe.
Mkuu kweli. Hata mimi nakuunga mguu kwa hilo. Unakuta mkosoaji hajawahi kuwa hata mwenyekiti wa mtaa ila anatukana rais.John Joseph Pombe Magufuli,waziri wa zamani ni wizara kadha ndani ya serikali ya awamu ya tatu na ya nne,mume wa Mama Janeth na baba wa watoto leo amekuwa Mtakatifu kiasi ambacho hastahili kukosolewa?Naamini dhamira yake ni kuitumikia nchi na si kutukuzwa kiasi ambacho ionekane kama hafanyi makosa.Alikosolewa Gadafi aliyetoa hata pesa ya kuolea itakuwa ajabu kukoselwa kwa Raisi Magufuli.Ninachopinga ni kumkososa kwa matusi,hilo sikubaliani nalo.
Naunga mkono hoja na sisi wengine hili tuliisha lisemea kitambo nyumaWapo watu, ama hawajitambui, ama elimu zao ni ndogo, ama ni wendawazimu. Kila kukicha wanamshambulia JPM wakidhani kufanya hivyo wataiingiza Chadema ikulu mwaka 2020. Ningewapongeza sana kama wangeendelea kutapanya sera zao, kutafuta wanachama wa kutosha, kufungua matawi sehemu mbalimbali nchini n.k huko kungefufua matumaini. Lakini kutukana mitandaoni na kukejeli hadi uteuzi wa mh.Rais huku ni kujilisha upepo.
Mh..sasa hapa tunazungumzia siku yoyote au 2020? Kichwa cha habari kinazungumzia siku isiyojulikana, content imejikita 2020Wapo watu, ama hawajitambui, ama elimu zao ni ndogo, ama ni wendawazimu. Kila kukicha wanamshambulia JPM wakidhani kufanya hivyo wataiingiza Chadema ikulu mwaka 2020. Ningewapongeza sana kama wangeendelea kutapanya sera zao, kutafuta wanachama wa kutosha, kufungua matawi sehemu mbalimbali nchini n.k huko kungefufua matumaini. Lakini kutukana mitandaoni na kukejeli hadi uteuzi wa mh.Rais huku ni kujilisha upepo.
Wapo watu, ama hawajitambui, ama elimu zao ni ndogo, ama ni wendawazimu. Kila kukicha wanamshambulia JPM wakidhani kufanya hivyo wataiingiza Chadema ikulu mwaka 2020. Ningewapongeza sana kama wangeendelea kutapanya sera zao, kutafuta wanachama wa kutosha, kufungua matawi sehemu mbalimbali nchini n.k huko kungefufua matumaini. Lakini kutukana mitandaoni na kukejeli hadi uteuzi wa mh.Rais huku ni kujilisha upepo.
Kwa takribani miaka 10 wanaJF wamekuwa wakiihoji chadema kuhusu ujenzi wa ofisi za Chama ....hakuna majibu wala utekelezaji...sitegemei watanzania kuwapa nchi chadema milele na milele...!
Nafikiri wewe ndiye umepoteza matumaini , uyui tabora wamewaonyesheni kuwa ccm Siku zake zinahesabika
Uyuwi ili wewe acha kukurupukaNafikiri wewe ndiye umepoteza matumaini , uyui tabora wamewaonyesheni kuwa ccm Siku zake zinahesabika
Brother things are made to happen, huwezikutarajia kutokea kwa mabadiliko bila maandalizi ya kimkakati kuyafanya yatokee. Ok, CCM imetuchosha hili halina mjadadala, lakini unajenga vipi matarajio ya CCM kuondoka madarakani kwa mkono wa upinzani wakati siku ni zilezle j.3, j.4, j.5 nk, majira ni yaleyale Jan,Feb,Mar nk watu ni walewale Wabena,Wasukuma,Wakwele nk vyama ni vilevile CHADEMA, CCM, CUF nk, wagombea ni walewale miaka nenda rudi, kibaya zaidi Tume ya UCHAGUZI, KATIBA ,SHERIA na KANUNI za uchaguzi ni zilezile zilizoifanya serikali ya CCM kudumu madarakani mihula yote, Sasa ktk mazingira hayahaya tunayoelekea kuingianayo uchaguzi 2020 tunajenga tumanini la mabadiliko ktk lipi? labda sasa tusubiri divine Intervention. Remember, life is not a game of chance but a matter of choice, My take, umefika wakati sasa wa vyama vya upinzani kuachana na ndoto (KIPAUMBELE) za Ikulu na kuweka kwanza mikakati kabambe ya kuuelimisha umma kudai KATIBA mpya itakayojenga mazingira mapya yenye DEMOKRASA ya kweli ktk vyama vingi, baada ya kujenga democratic fair grounds ndipo sasa tutarajie mabadiliko kupitia upinzani wa kisiasa bila hivyo ndoto za mabadilko hazitakaa zitimie labda kupitia COUP^ D' E ................!!!!!.Mkuu@Makusudically ni uzuzu uliopitiliza uliopitiliza kudhani chama chenye nasaba na taiga hili ni ccm pekee. Iweje mabeberu waliiamini tanu wakaikabidhi nchi na isiwe wananchi wana wa nchii hii wasiamini chama chochote cha upinzani?
Nasema ni suala la muda tu, kitapatikana chama mbadala na ccm itatoka madarakani bila kutarajia, yes nasema bila kutarajia maana hivyo ndivyo itakavyokuwa!!!
Wacha tufanye kazi!