Ni aibu dume zima kucheza candy crush

Ni aibu dume zima kucheza candy crush

Inaboaje? Unakuta dume zima linacheza candy crush.
Michezo ya kiume iko mingi. Kuna ya kivita, mbio za magari, soka nk. Candy Crush ni kwa ajili yet mtuache tujinafasi.

Weka picha tuuone huo mchezo tuujue tusioujua
 
mbona kuna wanawake wanaimba "these girls aint loyal"
 
To Nazjaz
ImageUploadedByJamiiForums1408077589.443188.jpg
 
Mimi nimecheza nimefikia level 100,000,000, lakini hio Candy ndio vitu gani? Let us be serious
 
Hebu kwenda huko. Mi napenda kale kamziki tu. Nataman kama kuna uwezekano nikaweke ringtone ya simu yangu. Nifanyie mchakato.

Cand Crush Saga oyee
 
Back
Top Bottom