Ni aibu dume zima kucheza candy crush

Ni aibu dume zima kucheza candy crush

ni aibu kwa mwanaume kucheza game la aina yoyote kwenye SIMU!!!!!

usidanganye wenzio.jana.usiku ulikua unafanya nin kwenye simu yangu kwa macho yangu nimekuona ukicheza game bisha
 
usidanganye wenzio.jana.usiku ulikua unafanya nin kwenye simu yangu kwa macho yangu nimekuona ukicheza game bisha

weeee, game kabisaaa game?!! uliona vibaya nilikuwa naangalia tule tumuvi ulitotuficha kwenye kale kafolder!
 
Back
Top Bottom