Ni aibu dume zima kucheza candy crush

Ni aibu dume zima kucheza candy crush

Nazjaz

JF-Expert Member
Joined
Jan 20, 2011
Posts
7,775
Reaction score
9,202
Inaboaje? Unakuta dume zima linacheza candy crush.
Michezo ya kiume iko mingi. Kuna ya kivita, mbio za magari, soka nk. Candy Crush ni kwa ajili yet mtuache tujinafasi.
 
Halafu utasikia dume likiimba l miss my Johnny loh yaani hatari tupu
 
Women!!!!!!! Candy crush iko kwenye simu yangu macho kumchuzi tu... Inakuhusu nini wewe mind you're business...!
 
Simnataka usawa? Sasa kwa nini na wewe (nyie) msicheze hizo game za ki vita n.k. Mwacheni ajinafasi na Candy Crush game yake cha muhimu Ana-refresh his mind.
 
Halafu utasikia dume likiimba l miss my Johnny loh yaani hatari tupu

Hahaa basi umenichekesha coz sio muda mrefu nimemsikia boss akiimba hiyo jonny wakati akienda kuchota maji ya kunywa kwenye spenser...kazi kweli!
 
Hahaa basi umenichekesha coz sio muda mrefu nimemsikia boss akiimba hiyo jonny wakati akienda kuchota maji ya kunywa kwenye spenser...kazi kweli!

Mchunguze vizuri huyo
 
mbona nyie mnafanya yale yaliyodhaniwa ni ya wanaume? Si ndo 50/50 au?
 
Acha ushamba wewe kwani limeandikwa for women? Mimi Mwanaume na ninacheza niko level 18 kwa sasa. Wewe mwanamke twambie umefikia wapi
 
Inaboaje? Unakuta dume zima linacheza candy crush.
Michezo ya kiume iko mingi. Kuna ya kivita, mbio za magari, soka nk. Candy Crush ni kwa ajili yet mtuache tujinafasi.

Hah hah! Alikomalia game yako nn?
 
Back
Top Bottom