Ni aibu ama inakuaje?

Jaribu kuwa welcoming kidogo, unaweza kutana na mtu ukashangaa anachia tabasabu kali.
 
jamani uanaume umevamiwa
 
jamani uanaume umevamiwa

Haya mambo unayoyashangaa ni minor issues ambayo wanaume twakutana nayo daily ila twakausha coz ni suala la nature mwanamke kumuonea aibu mwanaume.

Kikubwa nahisi wewe unataka kuambiwa we handsome.amka kijana tafuta salary.........wacha wanawake waufurahie uzuri lakini si mwanaume.
 
Weka Picha Tuuone Uzuri Wako Unaousema.
 

Nenda ukaombewee uenda umevalishwa jitu la kushangaza au jini mbwaa!
 
Vipi kuhusu mikoba, vipochi, simu huwa nazo wanazishikiria vizuri?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…