BADILI TABIA
JF-Expert Member
- Jun 13, 2011
- 32,766
- 23,217
Itakuwa unawakodolea mijicho sana......
Eehhee!!!!! Ehhhhee!!! Sio Ikiwa Hivyo Anakua Na Dharau?? Mfano Halii Inanitokea Hata Sehemu Ambazo Sifahamiki, Sasa Hiyo Profile Wanaipataje???Labda upo uchi...au wanastori zako za ndani maana ukiona mwananke anakuonea haya hivyo ujue anaprofile yako yote tena ile ambayo ingetakiwa kuwa low...
Hapana Mkuu!!! Uwa Mara Nyingi Baada Ya Kupishana, Unakuta Ugeuka Na Kuniangalia Kw Uhuru, Ila Kabla Ya Kupishana Unakuta Anakua Kma Kapigwa Ganzi.Itakuwa unawakodolea mijicho sana......
بلاسس ذیسش سش؟
Mkuu, Kinachonishangaza Ni Hata Wale Wanawake Walio Katika Ndoa Ambao Utegemei Kma Watafanya Hivyo!! Yaani Nikikutana Nao Tuu... Lazima Wabadilike!! Uwaga Kma Wamepigwa Ganzi Hivi, Tukishapishana Ndio Wanakua Uhuru!!mim kila nikakaa na mwanamke lazima ang"ate vidole ata kama hana kucha mara anahangaika angaika yaan ata sielewagi au ananiangaliaa saaaan mpka nashangaaa this is too much
Mmhuu, Ww!!!Mhmm jamani tuseme wewe ni xxxgxx enh?? We kabila gan kwanza??
بلاسس ذیسش سش؟
Mtu Ambae Unamface Mbele Yako Utashindwa Kumuona??We unawaonaje mpk uhic yote hayo?
Hata Hiyo Avatar Ni Picha Yangu Pia Mkuu.
Sikai Na Familia Ya Wazaz.Vp na dada zako huwa wanfanya hvo ukiwa home?
Kuna Mahali Nimesema Mimi Wa Ajabu??Erick we wakawaida sana mbn
Hahaha