Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 77,080
- 165,195
Kijana una nyota ya sumaku....
Kijana una nyota ya sumaku....
Ipo Sayari Gani Hii Nyota?? But Kma Mwanamke Ningependa Kusikia Toka Kwako Pia Hii Uwa Inakuaje Yaani?? Kwa Nn Wawe Hivyo??Aujui Hali Nayokutana Nayo Ndio Maana Na Kwnagu Naiona Sio Ya Kawaida!!! Yaan Humu Ni The Boss Ndio Kanigusa Na Ushaul Wake Kwakel...Wengine Mmmhuu!!!Mimi sion issue hapa...
Napenda Kuvaa Vizuri Na Ni Mtu Ninaejipenda Na Nisiependa Kufanana Na Wengine Hata Kidogo Kuanzia Vitu Navyotumia, Ni Mtu Naependa Sana Vitu Unique.
Avatar Ni Picha Yangu.weka picha kwanza ndio tutakupa sababu ya hayo yote.
Eti Eheee.....Hahahahaha watu promo mwaiweza doh!
Avatar Ni Picha Yangu.
Wekeend Njema!!Labda watakuwa wanashangaa hizo hips zako zilivyokaa!
Ka we ni mrefu,mwil wastan,handsome afu weuc flan iv lazma ata mm mwili ungekufa ganzi
Ok Poa!!Hahahaha watu mna mambo...jiangalie kwenye kioo shida itakuwa kwako..
Sijui!!!Hivi vyuo vinafunguliwa lini maana kipindi hiki ni cha high season JF!!
!!!labda umefanana na CCM ndo maana hawataki kukuangalia ,vaa sura ya lowassa uone.
!!Duuh!! Umenikumbusha Nina Best Yangu, Yy Analo Tatizo La Kuogopwa Na Watu Bila Sabbu!! Kiukwel Kuna Hali Zngine Si Za Kawaida!! Yy Unakuta Watu Wanamuogopa Tuu Wenywe, Bila Sabb!!Duu kwa upande wangu mimi napata shida kidogo kama yako ila tunatofautiana
Mimi nikiongea na mtu awe wa kiume au wakike huwa hawawezi kuniangalia straight machoni hata kama ni maongezi tu ya kawaida
Sijui ni tatizo gani