Ni Africa tu Unaweza Ona Hii

huyo shosti lazima uwe mpole akiwa mke wako..
 
Hiyo harusi ya kwenye pikipiki imeniacha hoi!
 
Jamaa wanaopiga nondo waache tu wanatafuta apetaiti, ila mama mwenye kichanga na SMG front! kanichefua mno!
 
Afrika ndo kila ki2 wazungu wame2zidi kwenye application ya science yao tu
 
picha ya kwanza imenikumbusha mbali sana
 
Nimekupata mkuu hii ndio africa,hawa jamaa kwenye gym kama wale wa quality center kwa manji duuuu!
 
da hayo mawe ya gym yana uzito sawa?mwishowe unajazia upande mmoja
 
Mkuu ukisema Africa nadhani unakuwa hujaitendea haki africa,nenda Asia kuna nchi kibao maskini sana tena kuna mambo zaidi ya haya,nenda Bangladesh'Nepal,afghanistan,na hata baadhi ya meneo ya India na Srilanka haya yapo sana,tatizo letu waafrica kila kitu chetu tunakidharau!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…