Ni 24 December HAPPY BIRTHDAY Baba V

Ni 24 December HAPPY BIRTHDAY Baba V

Chukua hii ya kifreemason kwanza

Happy_Birthday1.jpg
 
Baba V hongera sana kwa siku hii muhimu kwako
Mungu akujalie maisha marefu yenye amani na furaha
Uishi kuiwasha mishumaa 101
Happy birthday Baba V
 
Last edited by a moderator:
Babaaaaaaaa V happy birthday to you. May God give you many years ahead of u....
 
Hau ol ayu nao?
Hepi besdei dia ba V,
Hepi besdei tu yu
Makofi kwa kwa kwa!
 
hongera Baba V kwa siku hii ya kipekee kwako!Mwenyezi Mungu aendelee kukujalie maisha marefu yenye mafanikio!
 
Happy Birthday to you Baba V
Mungu akupe maisha marefu zaidi!
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom