Mwanaharakati2013
Senior Member
- Sep 29, 2013
- 170
- 15
nimecheka sana japo inauma sana
i know how it feels.
nimecheka sana japo inauma sana
kwa hiyo post ni 43 mkuu soma kwa makiniNi kweli bana wadau wametoa kwenye mwananchi tu mi mwenyewe nimechemsha...Membership officers wametoa majina 29, Compliance officers wametoa 26, Assistant Accountant wametoa 21. Poleni sana waliopotezewa kama mimi..