NHIF wametoa majina

NHIF wametoa majina

steveachi

JF-Expert Member
Joined
Nov 7, 2011
Posts
11,343
Reaction score
13,365
Haya sasa kwa wale tulioapply majibu yamekuja wakuu,wameweka majina ya waliowaita ktk gazeti la mwananchi la leo,ni mengi mno,wengine tumeangukia pua,kila ka kheri mlioitwa
 
Haya sasa kwa wale tulioapply majibu yamekuja wakuu,wameweka majina ya waliowaita ktk gazeti la mwananchi la leo,ni mengi mno,wengine tumeangukia pua,kila ka kheri mlioitwa

ooohooo... mkuu weka hapa tuone wengine tupo mbali na magazeti plz
 
pole sana Mkirua,MODS wamenisaidia kuirekebisha
 
Last edited by a moderator:
mkui plz attach hapa

najaribu sana kuitafuta soft yake net nashindwa kuipata, mi niliyaona majina kwenye hard copy ya gazeti la mwananchi,nimejaribu kuingia kwenye website ya Bima ya Afya nione kama wameyaweka majina niwauploadieni hawajayaweka katika mtandao wao,jitahidi upate nakala ya Mwananchi Mkuu
 
Mkuu inapatikana kwenye tovuti ipi mbona siipati hata kwenye website yao ya NHIF..Kama vipi itupie basi hapa..
 
Mimi sijaelewa mkuu unaamaainisha waliofanya interview na wameitwa kweny oral au kuna nafas nyingine walitangaza ndio wameita watu kwa ajili ya written interview
 
Ni kweli bana wadau wametoa kwenye mwananchi tu mi mwenyewe nimechemsha...Membership officers wametoa majina 29, Compliance officers wametoa 26, Assistant Accountant wametoa 21. Poleni sana waliopotezewa kama mimi..
 
Sasa mpaka sasa inaonyesha members wengi wa JF wamekosa. Embu na wengine watiririke tuone ni members wangapi wa JF home of great thinkers wamepata au kukosa. Isije ikawa hujuma hii! Hehehe! Au...?
 
Sasa mpaka sasa inaonyesha members wengi wa JF wamekosa. Embu na wengine watiririke tuone ni members wangapi wa JF home of great thinkers wamepata au kukosa. Isije ikawa hujuma hii! Hehehe! Au...?

nimeitwa.. am so happy.. Mungu anisaidie nifanye oral vizuri nipate kazi.
 
Back
Top Bottom