BABA TUPAC
JF-Expert Member
- Sep 30, 2015
- 1,527
- 3,810
Wanabodi,
Tarehe 2 mwezi wa sita mwaka 2016 NHIF waliweka tangazo la oral interview kwenye website yao. Ukilitazama lile tangazo yawezekana limeandaliwa na mtu mwenye uelewa mdogo au mwenye uelewa mkubwa lakini kutokana na sababu anazozijua yeye ameamua kuficha baadhi ya taarifa.
1. Tangazo hilo halionyeshi siku ya oral interview, hamna tarehe ya kwenda kufanya oral interview.
2. Tangazo hilo halina mahali pa kwenda kufanyia oral interview.
3. Tangazo hilo halina muda wa kufanya oral interview.
Ni kwanini NHIF wanafanya hivyo baada ya kukaa na majina hayo kwa miezi mitatu? Au wanataka siku watu watakapoenda kuulizia waambiwe mbona interview ilishafanyika na kazi watu wameanza. Huo usiri unasababishwa na nini?
NHIF inapaswa kuangaliwa kwa ukaribu sana mienendo yake katika kuajiri na utendaji.