NHIF kitu kidogo hadi nije ofisi

NHIF kitu kidogo hadi nije ofisi

Mike Moe

JF-Expert Member
Joined
Nov 3, 2019
Posts
421
Reaction score
484
Siku kazaa hapo nyuma nimeingia nhif kupitia huduma yao ya online selfservice baada ya kufata hatua za mwanzo zote ikafika sehemu ya kuverify namba ya nida nimeijaza majibu napewq ishatumia katika Account type STUDENT napiga simu wanibadilishie iwe employee kazi yao kunipangia muda tu mara jaribu saa 8 mara baada y nusu saa simu ya mwisho nimepiga asubuhi mnaniambia nijaribu kuanzia saa nane na kuendelea kama ikigoma nije ofisini sasa nikija ofisini si ndio mtafanya kile kile mlichokuwa mnafanya mwanzo au hapo ofisini kuna mbinu nyingine mtatumia mteja akiwepo au imekaaje
Watu wa NHIF njua mpo pia mnasoma hii embu nipeni ufafanuzi wa hili kabla sijafunga safari ya kusumbuka kuja ofisini huko
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom