+255
JF-Expert Member
- Jan 1, 2012
- 1,940
- 762
majina mkuu, yatatusaidia kuanza mchakato wakuwashughulikia
Kuna mmoja mtoto wa mkuu wa mkoa mmoja upo kusini na alishawahi kuwa mkuu wa wilaya Morogoro, mtoto wake yupo NHIF Eastern zone Morogoro
majina mkuu, yatatusaidia kuanza mchakato wakuwashughulikia
Unamaanisha shule za serikali si za maana?tuache wivu pelekeni watoto shule za maana. shida yenu mnasubiria elimu ya bure ndo maana mnaishia kuwa BURE TU.
Huyo nimemuona leo kwenye taarifa ya habari kafanana na baba yake mno...Dr. Aifena basil Mramba
umejuaje habari za nhif? wapo watoto wangapi? unajua wanapofanyia interviews ? mmmh?Jamani nimekua nikishangazwa na style ya ajira zinazotolewa kwa watoto wa viongozi wa nchi hii kwenye mfuko wa afya....unashangaa unamuona mtu kaanza kazi kimyakimya bila kazi kutangazwa wala usaili,..ukiuliza unaambiwa mbona huyo ni mtoto wa dr.so n so waziri au naibu waziri kwani humjui?????
Embu tulizungumzie hili wadau
Blazaa nguvu yangu mimi imepotea bure nakuambia its a living truth sio story yakuhadithiwa!!!mimi nilipigana na interview hadi nilifanikiwa kupata ajira kwenye mashirika tajwaa ila niliyo yakuta humo na nilivyofanyiwa hadi keshoo nakuambia haya mashirika ya umma wamegawana koo flani flaniii za matajiri nchi hii au unataka nikutajie na majina ya watoto wa vigogo waliopo kazini mpaka saizi??na walianza kazi hata vyeti vyao havijatoka chuoniiWivu kitu kibaya sana Watanzania wenzangu. Dunia hii kijana usipochakarika mtabaki kutoa povu. Huyo kijana wa "Maskini" amefanya jitihada gani katika hiyo kazi? Au mnataka "Affirmative action"? Hakuna nguvu iliyopotea bure kwa mwenye bidii
Shule za maana zipi?tatizo la watanzania hufikiri ajira hushuka kama MANA toka angani somesheni watoto kwenye shule za maana (epukeni siasa za Elimu ya BURE), mfundishe mwanao kusoma tu hakutoshi kumpatia maisha mazuri bali Bidii, Heshima na UAMINIFU. Vinginevyo mtabaki kulia lia tu hapa
Tuwekeeni majina hapa, tuupate ukweli kwa kina
Mkuu ni kweli bila kuwaanika hapa ni kazi bure
Ni kweli mkuu, mutuwekee majina ya baba na mama zao tumtumie mzee wa kuchekacheka:wink2:
weka yote yote,
muheshimiwa bila kuwa na evidence acha kuzungumza. weka majina ya hao unaowatuhumu
majina mkuu, yatatusaidia kuanza mchakato wakuwashughulikia
Uko sawa kabisa sita ila hofu na wasiwasi wetu unakuja pale ukiangalia shirika la umma lenye wafanyakazi 200 tuu!!alaf nusu ya hao ni watoto na ndugu wa vigogoo ukiuliza huyu nani mbona analinga sana unaambiwa huyu baba ake ni mdogo wa kigogo flani..Mtoto wa kigogo ana haki ya ajira kama mtoto wa mkulima. Kama ameipata kihalali huna haja ya kulalamika. Lalamika kama amepewa kazi bila kufata taratibu na kama ameshindwa kutekeleza majukumu yake. Otherwise waacheni tu ipo siku tutakua serious kwenye HR AUDIT kama tunavyofanya Financial Audit na hapo ndio itakua mwisho wao.
I always wonder kwa nini Serikali haina Ofisi ya Ukaguzi wa Utumishi wa Umma.