Malima Albert Jacob
Member
- Oct 11, 2010
- 12
- 4
NHIF wametoa tangazo la kuita watu kwenye Interview, liko kwenye gazeti la Mwananchi la leo(tarehe 14,Machi 2014) ukurasa wa 34, hawajatoa majina ila wameweka vigezo vyao pale na wakaandika kama una hakika ulitimiza hivyo vigezo basi unakaribishwa kwenye interview, katika kila post wameweka tarehe, muda na ukumbi wa kufanyia interview, eneo la tukio ni Tanzania Episcopal Conference Center (TEC), Kurasini.