NHC yambwaga Mbowe Mahakamani

Kama mkataba haukuwahi kutekelezwa na alipe tu hilo deni.
 
Kwa majigambo yaliyotolewa majukwaani siku chache baada ya Mbowe kutolewa vyombo vyake...
Ningeshangaa sana kama ingekuwa tofauti na hivi.
Safari bado ni ndefu.
 
Mahakama imetenda haki kwa sisi wananchi dhidi ya wezi wa mali za umma.Hakika tumefurahia sasa shirika letu NHC litapumua baada ya kunyonywa na wadhalimu.
Makamanda wana andaa tamko lazima waseme wamefatilia mawasiliano ya judge na wamegundua alipigiwa simu kutoka ikulu TEH TEH
 
Huyo hakimu alijuaje kama mkataba haukutekelezwa (maana hajasikiliza hoja za upande wowote juu ya hilo)

Mashiko ndio nini kisheria
 
Boss alisha-shabikia jamaa kutolewa pale xo haishangazi kwa maamuzi yaliyofikiwa leo.

Mbegu inayopandwa sasa ikikomaa, tuwe tayari kwa mavuno.
 
Boss alisha-shabikia jamaa kutolewa pale xo haishangazi kwa maamuzi yaliyofikiwa leo.

Mbegu inayopandwa sasa ikikomaa, tuwe tayari kwa mavuno.
Yeah right. Kesi nyingi sana wapinzani wanashinda mahakamani. Tundu Lissu ameshaigaragaza serikali mara ngapi? Ikitokea wakashindwa hata kama siyo masuala ya kisiasa basi maneno kibao na kujiapiza kusiko na misingi. Tukumbuke tu kuwa nobody is above the law; na hata ukijifanya leo kuwa uko above the law kesho na kesho kutwa the law will find you. ...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…