NHC yaendeleza maajabu kwenye mji wa Magufuli

Alipojua anakaribia kufa, Kila kitu akawa anakiita kwa jina lake, huo mji upewe jina jingine, daraja la Busisi, stendi ya mbezi....yaani Kila mahali
Utaumia sana hata zanzibar tunataka ipewe jina la magufuli
 
Ni kwa sababu ya usimamizi mbovu wa sheria za mipango miji. Si ajabu kukuta michoro inayowasilishwa kuombeya kibali inaonesha hizo sehemu za kuweka magari lakini kwenye matumizi zinatumika kama maduka.
Inaweza kuwa.
 
Video hii inaonyesha namna NHC ya mkurugenzi Nehemia Mchechu inavyoendelea kubadilisha mji wa kiserikali alimaarufu Magufuli city makao makuu ya nchi jijini Dodoma, nyumba nyingi na maghorofa makali sana yanaendelea kujengwa na kukamilika.
Kila kilichoanzishwa na Magufuli kitakamilika kama alivyopanga na wale wenye roho za korosho watateseka na kukonda maisha yao yote.
Karibuni Magufuli city Dodoma.

Pongezi kwa Rais Samia Kwa kutoa pesa na mambo yanaenda very smooth bila mapovu kama awamu ya Giza 👇
 
Attachments

  • Screenshot_20220713-195337.png
    Screenshot_20220713-195337.png
    130.8 KB · Views: 11
Mji wa kisiasa hauwezi kudumu !! tushoshana tu.
 
Video hii inaonyesha namna NHC ya mkurugenzi Nehemia Mchechu inavyoendelea kubadilisha mji wa kiserikali alimaarufu Magufuli city makao makuu ya nchi jijini Dodoma, nyumba nyingi na maghorofa makali sana yanaendelea kujengwa na kukamilika.
Kila kilichoanzishwa na Magufuli kitakamilika kama alivyopanga na wale wenye roho za korosho watateseka na kukonda maisha yao yote.
Karibuni Magufuli city Dodoma.

Nehemia MSECHU ana akili kuliko mwendazake
 
Swali kwa ma Engineer. Ni kwa nn gorofa nyingi za serikali na binafsi nchini Tanzania hazina underground parking ili ardhi itumike vzr kama ilivyo nchi zingine?
Hatuna uhaba wa ardhi kama nchi nyingine
 
Video hii inaonyesha namna NHC ya mkurugenzi Nehemia Mchechu inavyoendelea kubadilisha mji wa kiserikali alimaarufu Magufuli city makao makuu ya nchi jijini Dodoma, nyumba nyingi na maghorofa makali sana yanaendelea kujengwa na kukamilika.
Kila kilichoanzishwa na Magufuli kitakamilika kama alivyopanga na wale wenye roho za korosho watateseka na kukonda maisha yao yote.
Karibuni Magufuli city Dodoma.

Iyo ni pesa yangu ya kodi, na haiwezekani miradi iliyotufanya kulimia meno na ishaingizwa pesa kuachana nayo, so pesa ni za watanzania , ila napongeza
 
Kwa kodi ipi unayolipa?
 
Back
Top Bottom