Alloyce PR
JF-Expert Member
- Nov 15, 2020
- 857
- 922
Nimekusikia mwanangu.Sawa baba, tutoe kwenye umasikini baba 😂
Pole mkuu. Kwani kutaka kuitwa Baba kuna ubaya gani.Wewe jamaa 📡 limeyumba. Huu ni uzi wa pili unaongea ujinga.
Kibwetele alianza hivi hivi, mwisho wa siku kawachoma kanisa zima
😂😂😂 Noma sana.Mbeengo zimefoongokaa
😂😂😂Kibwetele alianza hivi hivi, mwisho wa siku kawachoma kanisa zima