Nguvu ya mafisadi na majangili yadhihiri

Nguvu ya mafisadi na majangili yadhihiri

CCM ni sawa na ukoo wa panya ' baba mwizi, mama mwizi, mtoto mwizi, kaka mwizi, dada mwizi, babu mwizi, bibi mwizi, mkwe mwizi' By Mh. Nassari.:lock1:
 
Nampongeaa kagasheki kwa yeye mwenyewe kuamua kujiuzulu baada ya kuona kweli kuna shida ambayo ndani ya wizara yake. Ila katika kipindi chote hakuna taarifa aliyokwisha kuitoa kuhusiana na wahusika wa ujangili. Maana majangili yanafahamika. Mfano kuhusu twiga na wanyama wengine kusafirishwa lazima wizara ya maliasili itoe kibali je! Hadi jana lini aalishatoa taarifa kuhusu hilo? Loliondo kila leo wanyama wanauawa na mwarabu hajawahi kulizungumzia. Vipi kuhusu vibali vya site katika hifadhi. Ni wangapi amewapa kwa mgongo wa kichama? Sikatai kila mwanadamu aa madhaifu yake ila tuangalie pande zote. "MWIZI NI MWIZI HATA KAMA ANASAIDIA YATIMA BADO NI MWIZI"
 
Back
Top Bottom