Aaamen lingekuangukia kesho yangekuwa mengineMkuu Usiku wa kuamkia leo nimeota ndoto mbaya ya kutisha kuna lori kubwa lilitaka kuniangukia kwenye ndoto nikasema shundwa katika jina la yesu likaangukia upande wa pili kuangalia dereva ni mchana mdogo wa kama miaka 12 hivi.maombi yanasaidia sana mkuu
Mimi binafsi nilikuwa siamini kuwepo uchawi ila sasa nimeamini ila kuna nguvu ishindayo nguvu zote ambayo ni nguvu ya mungu,ukiwa unamwamini mungu hakuna kinyamkera kitakacho kusumbua maishani mwako,na mchawi akikushindwa anaona na wewe ni mchawi kama yeye.mungu ni mwema umenitoa mbali.Aaamen lingekuangukia kesho yangekuwa mengine
Aaamen....!!! Barikiwa zaidiMimi binafsi nilikuwa siamini kuwepo uchawi ila sasa nimeamini ila kuna nguvu ishindayo nguvu zote ambayo ni nguvu ya mungu,ukiwa unamwamini mungu hakuna kinyamkera kitakacho kusumbua maishani mwako,na mchawi akikushindwa anaona na wewe ni mchawi kama yeye.mungu ni mwema umenitoa mbali.
Hapa kwenye mkao nakukubalia, ndiyo maana kuna watu wakilala chali basi hupata ndo za kutisha! Pia mlalo Wa kukutana kimwili kiroho mwanamke hulala chali na mwanaume humlalia juu. Hizi zingine ni mbwembwe tuHata position yake chumbani ina maana kubwa
Nimekuelewa Mshana j.r, halafu wewe jamaa bwana unajua sana kuendana na saikolojia za watu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapa kwenye mkao nakukubalia, ndiyo maana kuna watu wakilala chali basi hupata ndo za kutisha! Pia mlalo Wa kukutana kimwili kiroho mwanamke hulala chali na mwanaume humlalia juu. Hizi zingine ni mbwembwe tu
Sent using Jamii Forums mobile app
DuhPia mlalo Wa kukutana kimwili kiroho mwanamke hulala chali na mwanaume humlalia juu. [emoji144][emoji144][emoji144][emoji144]
Jr[emoji769]
Mimi nakuelewa vizuri sana, ndiyo maana jamaa mmoja anasema "wanabidii sana ya kumtafuta Mungu lakini si katika maarifa"Tumefundishwa kuwa werevu kama nyoka... Ningeandika hivyo mada ingetupwa jukwaa la dini.... Kuna mada moja niliandika heading ULIMWENGU UNAENDESHWA NA ROHO MTAKATIFU... na mwanzo tu mwa mada nikaelezea ROHO MTAKATIFU kwa muktadha gani... Mada haikuwa ya kidini lakini imetupwa huko ambako wengi hawana access
Mimi nakuelewa vizuri sana, ndiyo maana jamaa mmoja anasema "wanabidii sana ya kumtafuta Mungu lakini si katika maarifa"
Sent using Jamii Forums mobile app