Nguvu ya jamii forums

Yap mdau akipata habari
 

Attachments

  • 1389785096392.jpg
    70.7 KB · Views: 320
khee aisee jf ni kila ki2,mwenyewe nipo nasubiria daladala huku nakula news
 
Sio siri Mkuu tangu niijue jf nimefaidika sana mbali na mapungufu madogo madogo ila JF ni ufunguo wa milango mingi ucheshi utani imani siasa taaluma yani kijamii kwa ujumla
 
Hapana kwakuwa sijampiga pich usoni sio dhambi mkuu
 
Ni kweli mkuu ila si kwa nia mbaya maana nimevutiwa na achokuwa anafanya yaani kujihabarisha ila nimekwishateremka na kama nimemkosea anisamehe kwakuwa sijui ID yake
 
Nimekwisha teremka Kama nimekosea nisamehewe pia wana jamii. Maana katika jamii wawezafanya jambo kwa mtazamo chanya kumbe unaharibu.Naomba radhi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…