Zanzibar 2020 Nguvu ya Dodoma katika maamuzi ya Urais wa Zanzibar (CCM)

Kwa hulka na silka za waislamu na watu wa znz. Mwinyi Hana kujulikana Sana na kukubalika Sana visiwani huko.

Wa Zanzibar wanathamini zaidi mtu waliyekuwa nae katika shida na Raha na kwa hapo Mwinyi Hana ushawishi wote miongoni mwa isles voters weka Hilo sahihi.
Kwahiyo unamaanisha Wazanzibari ni wabaguzi?
 
Kwa hulka na silka za waislamu na watu wa znz. Mwinyi Hana kujulikana Sana na kukubalika Sana visiwani huko.

Wa Zanzibar wanathamini zaidi mtu waliyekuwa nae katika shida na Raha na kwa hapo Mwinyi Hana ushawishi wote miongoni mwa isles voters weka Hilo sahihi.
Uko right bro..
 
Kuna sentense yako moja eti lowasa alishindwa uchaguzi 2015 , lowassa hakushindwa uchaguzi nakuweka sawa, uchaguzi ulihujukiwa kuna kila ushahidi kuwa upinzani ulishinda muulize magufuli
akamuulize chato ?
 
Ni upuuzi kufikiri CCM bara ndiyo waamuzi wa viongozi wa CCM Z'bar wakati wao bara wanashindwa kujiamulia viongozi wao zaidi ya kufanya mazingaombwe, rehearsal na maagizo ya uchaguzi wa mgombea urais!
 
Yaani koloni la ccm Zanzibar wana uamuzi gani ,mtawaliwa hana maamuzi yake,yeye ni kuamuliwa kila kitu.
 
Kwa vyovyote watakavoendesha uchafuzi mara hii CCM inakwenda na maji kwa Zanzibar 100%. Wamefanya kosa kumtowa yule General wa jeshi kwenye 5 bora. Atawaambia wafuasi wake hamna kugusa raia. PoliCCM hawawezi mikiki ya Zenji. Mind you mara hii linawaka kote kote hawajui wakamate wapi
Ukishastaafu kwisha habari yake! hakuna cha General wala babu yake na general
 
Back
Top Bottom