Nguvu ya CHADEMA mitandaoni imeenda wapi?

Vyote kwa pamoja

Sent from my VFD 301 using JamiiForums mobile app

mngekua mnalilia katika kwa ajili ya wananchi nadhan hata wananchi wangewasupport, tunajua kabisa mnataka katiba ya kuwaingiza madarakani ndo maaana mnakua empty mda wa kuongea na wananchi zaidi ya kufoka kwa sauti kubwa kama lema na mbowe
- whats even worse mkipewa ushauri hamtaki
 
Uzuri unafahamu ukubwa wa CHADEMA, tatizo unajitoa ufahamu. Mwendazake ameiacha CHADEMA iko pale pale pamoja na mbwembwe zake zote

Sent from my VFD 301 using JamiiForums mobile app
 
Mkuu Dr slaa bora alivyoondoka Cdm lakini Kama angekuwepo bado yupo chadema kwa utawala wa mfu Magufuli angekuwa wa kwanza KUPIGWA RISASI KABLA YA LISU.
Bora Dr slaa angekuwepo chadema alikisaidia kuwa na sera sasa hawana sera walimsimamisha tundu lisu kuwa mgombea urais sera yake nimeonewanmeipigwa risasi akasababisha chama kupata mbunge mmoja
 
Mkuu Dr slaa bora alivyoondoka Cdm lakini Kama angekuwepo bado yupo chadema kwa utawala wa mfu Magufuli angekuwa wa kwanza KUPIGWA RISASI KABLA YA LISU.
Mtu mwenye akili na sio mnafiki kama dr slaa hawezi kubaki chadema kile chama ni genge la wahuni
 
Kwenye ile kesi ya kubumba last year watu walichanga Millioni 300+ in less than 24 hours !

Ila kwakua MATAGA ulikua unaimba mapambio kijijini kwenu Ikwriri huwezi kujua nguvu ya mitandaoni! Hadi mflame akaizima siku ya uchaguzi
Mlijenga ofisi ya chama?
 
Mlijenga ofisi ya chama?
CCM mna funds gan za kujenga bila kuwanyonya wajinga pesa zao huku mkiwaita wanyonge wasishtuke?

Mnajiskiaje last year mna misafara ya ghari za bei mbaya kutoka kwa wananchi na mnafika Kigoma mnaambiwa hawana maji bali wanachangia kisima kimoja na mifugo huku mkiwa mmetawala nchi tangu kupata uhuru??

Helicopter na Magari mkayabadili rangi kumfurahisha mtu aliyechapisha form moja halafu mkaja kudanganywa na ujinga wenu amepita kwa 100%

 
Kwa nini mnatukanwa?
Hapo ulipo unatamani cdm iwe inatukanwa na wananchi lakini wapi. Jazane majobless kwenye post za cdm, lakini cdm ni shida na imeshaingia mioyoni mwa watu, hivyo hamna uwezo tena wa kuifuta. Huku mitandaoni ni sehemu ya vijana ambao ndio nguvu ya cdm, uzuri huku mitandaoni hakuna vyombo vya dola vya kuwabeba. Hivyo mtatukana sana.
 
Hoja dhaifu mno, JPM alikua anatisha mno watu
 
Kisayansi ni lazima uone nguvu ya CDM imepungua kwa sababu

1. Sasa hivi muda mwingi mnapambana wenyewe kwa wenyewe kuhusu LEGACY kati ya SUKUMA GANG na CCM ASILI

2. UVCCM Mmepunguza kidogo ubishi kwa aibu maana yote yale CDM waliyokua wanayapigia kelele humu ndani ndio hayo Bi. KIDUDE ameahidi kuanza nayo na kuyafanyia kazi katika serikali yake

Mfano: maswala ya ushirikiano wa kimataifa, demokrasia, kodi holela n.k

So automatically unaona kama nguvu imepungua ila tupo imara zaidi ya jana


3. Lile kundi la SUKUMA GANG ambao ndio walilia LEGACY akili zenu zinafikiria jinsi wimbo wa LEGACY utakavyo yeyuka baada ya Bi. KIDUDE kuchukia kiti cha CCM

4. Sasa hivi mmechanganyikiwa kwa sababu kila uchwao LEGACY inapotea licha ya nguvu kubwa ya mapambio kwa hiyo hata muda na CDM hamna tena mpo busy mnahangaika kuiinua LEGACY inayo anguka kila siku


Conclusion: Kwa zile kelele za LEGACY nilitegemea ingefanyika 40 ya KATAIFA lakini wapi 40 ya marehem imepita kimyakimya watu wapo serious kujenga nchi iliyobomolewa na mjinga mmoja tu na kundi lake la mashabiki wa SUKUMA GANG na hilo ni baada ya watu kugundua kuwa walikuwa wanaubiwa sana na MALAIKA yule
 
Ushabik ndo uligharimu taifa hili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…