Usaliti ni laana mapokezi yake yadoda, tutashitakiwa MIGA yamponza

Kulwa Jilala

JF-Expert Member
Sep 6, 2022
3,510
7,755
Habari.

Inasikitisha sana ukifuatilia page na post mbalimbali za Chadema wanavyotukanwa kwenye comments na wachangiaji.

Kuna group linaitwa Chadema in blood kule Facebook yani kila wanachopost ni kutukanwa tu na watu, huko Instagram ndiyo balaa kabisa, njoo Jamii forum hali ni hiyo hiyo!

Nimeangalia comments za kwenye hotuba ya Mbowe aliyoitoa akisema vibaya utawala wa hayati Magufuli, kwa kweli ni huzuni raia walivyomtukana Mbowe. Swali la kujiuliza Chadema imefikaje huku?

Enzi za Dr. Slaa ulikuwa unavaa gwanda la Chadema kwa maringo yote, leo tuvae kwa aibu ya kujifichaficha?

Je Tundu Lisu ameharibu image ya chama baada ya kuanza kutetea mabeberu?

Je ni Mbowe ameharibu image ya chama baada ya kuwa anaangushwa na konyagi anasingizia amepigwa na wasiojulikana? Au ule uongo wake wa kuibia familia inapompeleka mahakamani anasingizia amefungiwa akaunti zake na serikali?

Kiukweli inahitajika tathimini ya haraka sana kuikoa na kuirudisha Chadema kwa wananchi ili waiamini tena kama zamani.
 
Tulikwisha waonya Chadema kuhusu matusi kwa Magufuli!

Tukasema!
Wasipobadili tabia,wataangukia pua,pengine kuliko hata 2020!

Watanzania wa sasa sio wale wa 2005!

Magufuli aliwafungua Macho na akawaacha wakiwa na uelewa wa kutosha!

Chadema endeleeni kwanufaisha bodaboda kwenye ujazo wa Petroli!
 
Kama kawa misukule ya marehemu ipo kazini
 
Tulikwisha waonya Chadema kuhusu matusi kwa Magufuli!

Tukasema!
Wasipobadili tabia,wataangukia pua,pengine kuliko hata 2020!

Watanzania wa sasa sio wale wa 2005!

Magufuli aliwafungua Macho na akawaacha wakiwa na uelewa wa kutosha!

Chadema endeleeni kwanufaisha bodaboda kwenye ujazo wa Petroli!

Kwahiyo kumbe ulikuwa ni kipofu hadi Magufuli alipokufunua macho! CCM sasa hivi wako wanapasiana picha za kuokoteza kuwa mikutano ya CDM haina watu. Yaani wanajitahidi kuukwepa ukweli maana unawaumiza. Cha ajabu sasa, nenda kwenye mikutano ya CDM yaani watu sio wa kutafuta. Na kwa hilo la Lisu ndio itakuwa balaa. Tunafahamu ni kwa kiwango gani ukweli unauma.
 
Habari.

Inasikitisha sana ukifuatilia page na post mbalimbali za Chadema wanavyotukanwa kwenye comments na wachangiaji.

Kuna group linaitwa Chadema in blood kule Facebook yani kila wanachopost ni kutukanwa tu na watu, huko Instagram ndiyo balaa kabisa, njoo Jamii forum hali ni hiyo hiyo!

Nimeangalia comments za kwenye hotuba ya Mbowe aliyoitoa akisema vibaya utawala wa hayati Magufuli, kwa kweli ni huzuni raia walivyomtukana Mbowe. Swali la kujiuliza Chadema imefikaje huku?

Enzi za Dr. Slaa ulikuwa unavaa gwanda la Chadema kwa maringo yote, leo tuvae kwa aibu ya kujifichaficha?

Je Tundu Lisu ameharibu image ya chama baada ya kuanza kutetea mabeberu?

Je ni Mbowe ameharibu image ya chama baada ya kuwa anaangushwa na konyagi anasingizia amepigwa na wasiojulikana? Au ule uongo wake wa kuibia familia inapompeleka mahakamani anasingizia amefungiwa akaunti zake na serikali?

Kiukweli inahitajika tathimini ya haraka sana kuikoa na kuirudisha Chadema kwa wananchi ili waiamini tena kama zamani.
Mwanaume una husuda wewe. Dah.
 
Chadema ni chama makini miongoni mwa vyama vya upinzani nchini.

Ushauri wa bure kwa chadema; Katika hotuba zenu jitahidini sana kuepuka kumtaja JPM. Ninajua sio rahisi kumtaja kwa zuri lolote(hata kama lipo), pia achaneni na kutaja mabaya yake(marehemu hajitetei).
Tahadhari: Huyu mtu amejisokota kwenye mioyo ya watanzania wengi!
 
Habari.

Inasikitisha sana ukifuatilia page na post mbalimbali za Chadema wanavyotukanwa kwenye comments na wachangiaji.

Kuna group linaitwa Chadema in blood kule Facebook yani kila wanachopost ni kutukanwa tu na watu, huko Instagram ndiyo balaa kabisa, njoo Jamii forum hali ni hiyo hiyo!

Nimeangalia comments za kwenye hotuba ya Mbowe aliyoitoa akisema vibaya utawala wa hayati Magufuli, kwa kweli ni huzuni raia walivyomtukana Mbowe. Swali la kujiuliza Chadema imefikaje huku?

Enzi za Dr. Slaa ulikuwa unavaa gwanda la Chadema kwa maringo yote, leo tuvae kwa aibu ya kujifichaficha?

Je Tundu Lisu ameharibu image ya chama baada ya kuanza kutetea mabeberu?

Je ni Mbowe ameharibu image ya chama baada ya kuwa anaangushwa na konyagi anasingizia amepigwa na wasiojulikana? Au ule uongo wake wa kuibia familia inapompeleka mahakamani anasingizia amefungiwa akaunti zake na serikali?

Kiukweli inahitajika tathimini ya haraka sana kuikoa na kuirudisha Chadema kwa wananchi ili waiamini tena kama zamani.

Ngwear FT Mirror - Maskini WENZANGU​

Intro: cowwizy ,ybm

Verse 1:
wachache ndo wanaishi wengi wetu ma escorts,
twiga wanapanda pipa hata bila ya passports,
mikoa mingi bado haina hata airports,
zaidi ya migodini madini kuya export,
bila ya wazawa kufaidika,
ndo mana wazanzibara wamechoka kutanga na nyika,
big up Mandela leo South sio Africa,
waliotangulia kupata uhuru bado wanapigika,
bidhaa zilizo expire kutubambika,
meli zinazidi zama wengi daily tunawazika,
wenye hali duni ndo tunao athirika,
wao ma vx yao ni special order uhakika,
tutalia machozi ya damu mpaka yata form bahari,
na tutaogelea wenyewe na watu hawajali,
leta mgomo baridi uijue serikali then muulize Ulimboka umuhimu wa Madaktari let's go

Chorus
(bado nalia tu na Tanzania yangu/kweli mali ni nyingi wale wachache wenzangu/me nalia na masikini wenzangu/eeh baba Mungu sikia kilo changu/issue is harder tuna suffer/sikia kilio changu/issue is harder tuna suffer/me nalia like..........)

Verse 2:
viongozi wa siasa kama viongozi wa dini,
mengi wanaongea coz silaha yao ni ulimi,
mh.spika Tanzania huru inazidi zeeka tayari ni miaka 50,
mengi mmetuahidi pia ahadi ni deni,
pia tunatambua umuhimu wa UN,
kupinga h.I.v,umaskini na rushwa and,
mabilioni yanayotumika kwa campgain,
kama za kupinga unyanyasaji wa watoto,
zisiishie kwenye promo na kuwalisha bado ndoto,
ishu sio kutupiana maneno bungeni,
bali watoto watoke mtaani warudi shuleni
,mkulima shambani anahitaji usafiri wa treni,
nyie piteni angani mazao yake muuzieni,
mpeni bei nzuri aweze mudu zaidi ya trector,
ni mawazo tu DIC usione nakuTATOR

(chorous)

Verse 3.
Tanu ilifanya kazi kubwa 61,
solution sio labda nchi wachukue upinzani,
bali mtanzania wa chini anaishi maisha gani,
watu wanakufa kwa njaa iweje tujivunie amani,
ni mengi tu mazuri yamefanyika mpaka sasa,
ila naamini bado tungekuwa mbali(hivi babu wa Loliondo nae inawezekana tu ilikuwa ni siasa)NO !(Lakini iko wapi hii kaburi ya Balali !?) Men ! Jibu unalo so usiulize swali,una dini ?
Mkristu sali na Muislam swali coz,
bado tunaishi ki mungu mungu,
Baada ya m weka z usikie kizungu zungu jinsi ukoloni unafanya mambo mpaka leo,
kuongoza jamii sio kumtawala mkeo,
najiuliza maisha yangekuwaje bila mziki,
hivi mtaani ingekuwa vp ? Ingekuwa mziki ...

(Chorous)

outro yeah chamber squad baby,one love,Tanzania,Muro jr I see ya ......
Till fade
 
Habari .

Inasikitisha sana ukifuatilia page na post mbalimbali za Chadema wanavyotukanwa kwenye comments na wachangiaji.
Kuna group linaitwa Chadema in blood kule facebook yani kila wanachopost ni kutukanwa tu na watu, huko instagram ndiyo balaa kabisa, njoo Jamii forum hali ni hiyo hiyo!

Nimeangalia comments za kwenye hotuba ya Mbowe aliyoitoa akisema vibaya utawala wa hayati Magufuli, kwa kweli ni huzuni raia walivyomtukana Mbowe. Swali la kujiuliza Chadema imefikaje huku?
Enzi za Dr Slaa ulikuwa unavaa gwanda la Chadema kwa maringo yote ,leo tuvae kwa aibu ya kujifichaficha?
Je Tundu Lisu ameharibu image ya chama baada ya kuanza kutetea mabeberu?
Je ni Mbowe ameharibu image ya chama baada ya kuwa anaangushwa na konyagi anasingizia amepigwa na wasiojulikana?, au ule uongo wake wa kuibia familia inapompeleka mahakamani anasingizia amefungiwa akaunti zake na serikali??

Kiukweli inahitajika tathimini ya haraka sana kuikoa na kuirudisha Chadema kwa wananchi ili waiamini tena kama zamani.
Kati ya sajili mbovu CCM ni huu. Yaani Bora Mwashambwa kuliko hili Bungo.
 
Habari.

Inasikitisha sana ukifuatilia page na post mbalimbali za Chadema wanavyotukanwa kwenye comments na wachangiaji.

Kuna group linaitwa Chadema in blood kule Facebook yani kila wanachopost ni kutukanwa tu na watu, huko Instagram ndiyo balaa kabisa, njoo Jamii forum hali ni hiyo hiyo!

Nimeangalia comments za kwenye hotuba ya Mbowe aliyoitoa akisema vibaya utawala wa hayati Magufuli, kwa kweli ni huzuni raia walivyomtukana Mbowe. Swali la kujiuliza Chadema imefikaje huku?

Enzi za Dr. Slaa ulikuwa unavaa gwanda la Chadema kwa maringo yote, leo tuvae kwa aibu ya kujifichaficha?

Je Tundu Lisu ameharibu image ya chama baada ya kuanza kutetea mabeberu?

Je ni Mbowe ameharibu image ya chama baada ya kuwa anaangushwa na konyagi anasingizia amepigwa na wasiojulikana? Au ule uongo wake wa kuibia familia inapompeleka mahakamani anasingizia amefungiwa akaunti zake na serikali?

Kiukweli inahitajika tathimini ya haraka sana kuikoa na kuirudisha Chadema kwa wananchi ili waiamini tena kama zamani.
Yamedoda wapi wkt anakuja kesho?

Sent from my SM-G977B using JamiiForums mobile app
 
Mimi nilikuwa siamini nilidhani DJ anasingiziwa nikaamua kuingia YouTube nika search mkutano wa chadema, Mwanza Duuh .
DJ Bowel alikuwa ameutwika mbaka unamwagika.
Kuna jamaa alinitumia picha alimzum DJ usowake ulikuwa mzito sana.

Alivyokuwa anaongea nidhahiri watagawana fito mda si mrefu.

Asali inautamu na uchungu wake, kwa mara ya kwanza naona DJ anazomewa baada ya kumsifia mama.
 
Kwahiyo kumbe ulikuwa ni kipofu hadi Magufuli alipokufunua macho! CCM sasa hivi wako wanapasiana picha za kuokoteza kuwa mikutano ya CDM haina watu. Yaani wanajitahidi kuukwepa ukweli maana unawaumiza. Cha ajabu sasa, nenda kwenye mikutano ya CDM yaani watu sio wa kutafuta. Na kwa hilo la Lisu ndio itakuwa balaa. Tunafahamu ni kwa kiwango gani ukweli unauma.
Hakuna mwenye akili timamu anaweza kushabikia CHADEMA hii iliyoungana na wezi.
Tutatafuta chama kingine lkn sio CDM wala CCM
 
Kwahiyo kumbe ulikuwa ni kipofu hadi Magufuli alipokufunua macho! CCM sasa hivi wako wanapasiana picha za kuokoteza kuwa mikutano ya CDM haina watu. Yaani wanajitahidi kuukwepa ukweli maana unawaumiza. Cha ajabu sasa, nenda kwenye mikutano ya CDM yaani watu sio wa kutafuta. Na kwa hilo la Lisu ndio itakuwa balaa. Tunafahamu ni kwa kiwango gani ukweli unauma.
Wewe ni kipofu hadi leo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom