Nguvu ya Bodaboda

Si angemswaga tuu...tabu yote hiyo ya nini?
 
maajabu ya nchi hii yanafurahisha
 
Mkuu Riwa ukiangalia hiyo barabara inaonekana ni "Highway", kwa hiyo huyo jamaa ametoka mbali na anapoelekea pia ni mbali.
 
Last edited by a moderator:
Ng'ombe wanaswagwa toka Bara mpaka Pugu machinjioni...umbali issue basi?
ilikuwa zamani sana kaka Riwa!siku hizi wanaletwa na magari na tren pia!
 
Last edited by a moderator:
Hata texas wanaswaga ila wanakuwa na farasi. Sasa kama hana farasi afu kuswaga ng'ombe mmoja inaruhusiwa kweli?
Ng'ombe wanaswagwa toka Bara mpaka Pugu machinjioni...umbali issue basi?
 
Ng'ombe wanaswagwa toka Bara mpaka Pugu machinjioni...umbali issue basi?
Serikali ilishakataza hilo kwa ajili ya uaribifu wa barabara na hata mazingira kwa ujumla, ajali za mara kwa mara mfaano 'morogoro road' walikuwa wakigongwa sana au kusababisha ajali tena wakati huo magari yakiwa machache sijui kwa sasa ingekuwaje maana maeneo mengi wakati huo yalikuwa ni mbuga lakini kwa sasa hakuna eneo ambali lipo karibu na machinjio halina makazi ya watu ambayo inapelekea kuleta mtafaruku na wakazi ikiwa watapitishwa kwenye makazi yao.
 
Ng'ombe wanaswagwa toka Bara mpaka Pugu machinjioni...umbali issue basi?



Nakubaliana nawe mkuu kuwa umbali sio issue lakini kwa mtazamo wangu hapo naona issue ni kuchelewesha kitoweo,unaweza kuta ubwabwa unatakiwa kuliwa saa nane mchana na hicho ndio kitoweo chenyewe na amekipata saa tatu asubuhi...
 
Kukodi pick up buku 35 ukikamata boda boda buku 3 tu unafika machinjioni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…