Nguvu ya bange. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nguvu ya bange.

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by Jaguar, Feb 11, 2012.

 1. Jaguar

  Jaguar JF-Expert Member

  #1
  Feb 11, 2012
  Joined: Mar 6, 2011
  Messages: 3,409
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Tunaambiwa na madokta kwamba maziwa ni mazuri kwa afya na yanaleta nguvu mwilini.Okay,nenda kanywe lita 5 za maziwa halafu kajaribu kusukuma ukuta,hutaweza kamwe..........................Hebu piga misokoto miwili ya bange.Mwenyewe utajionea huo ukuta una-move automatically.Bangini zaidi ya dawa.
   
 2. Mkuu wa chuo

  Mkuu wa chuo JF-Expert Member

  #2
  Feb 11, 2012
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 7,253
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  hebu kunywa maziwa lita 5 kama utaweza kuanzisha thread ya hivi, lakini hebu vuta misokoto 2 miwili ya bange unaweza anzisha thread za mtindo huu hata kumi, utajionea hizo pumba zinakuja automatically.
   
 3. Jaguar

  Jaguar JF-Expert Member

  #3
  Feb 11, 2012
  Joined: Mar 6, 2011
  Messages: 3,409
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Sana tu mkuu wa choo.
   
 4. Mkuu wa chuo

  Mkuu wa chuo JF-Expert Member

  #4
  Feb 11, 2012
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 7,253
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  what!!! Who is that person!?
   
 5. ZeMangi

  ZeMangi JF-Expert Member

  #5
  Feb 11, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 439
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mwe..!hivi kwel zinaweza zikaja pumba.!?ngoja 2subiri 2one.
   
 6. DAWA YA SIKIO

  DAWA YA SIKIO JF-Expert Member

  #6
  Feb 11, 2012
  Joined: Dec 8, 2011
  Messages: 985
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  ... Ukipiga ile kitu stress zinazoletwa na wabishi wa town zinapungua.
  ...Mtu akikuzingua unamwambia kama huna shs 200 piga mbizi.
  ... Kama vipi soma hapo chini pia!
   
 7. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #7
  Feb 11, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Well said to him
   
 8. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #8
  Feb 11, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Mkuu wa choo tena?
   
 9. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #9
  Feb 11, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Mwanzisha thread inaonyesha wewe ni mvutaji mzuri wa hiyo bangi
   
 10. Jaguar

  Jaguar JF-Expert Member

  #10
  Feb 11, 2012
  Joined: Mar 6, 2011
  Messages: 3,409
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Don't halt hating my hits,ni mvuta bangi yule asiyejua matumizi ya jukwaa la utani!
   
 11. H

  Hackermanfesto Member

  #11
  Feb 12, 2012
  Joined: Jan 4, 2012
  Messages: 30
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Oneni mwingine huyu
   
 12. Nassir93'

  Nassir93' JF-Expert Member

  #12
  Feb 12, 2012
  Joined: Jul 14, 2011
  Messages: 230
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Tena huyu inaonekana huyu ananyonga kaya dry...
   
 13. j

  jembe la bush Member

  #13
  Feb 12, 2012
  Joined: Feb 12, 2012
  Messages: 10
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  foolz.....
   
 14. H

  Hackermanfesto Member

  #14
  Feb 13, 2012
  Joined: Jan 4, 2012
  Messages: 30
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Huyu kapikia kama mboga
   
 15. R

  RECYCLER Senior Member

  #15
  Feb 14, 2012
  Joined: Jan 14, 2012
  Messages: 104
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Hiv unajua waliofaulu wewe? Umebahatisha kithree chako cha mwisho af 8najisifu eti nilifaulu PCB , Ur dad alikuonea huruma ukienda huku utakufa bure nakuishia kudisco, kwanza kijana unaonekana huna self determination coz kama ni hivyo ungesoma EGM au ECA mapema lakin kwavile hujielewi ukajichomeka kwenye fani za watu . Futa ujinga wakko apa usiboe watu bila Dr.ungeishi mpaka leo wewe?
   
 16. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #16
  Feb 14, 2012
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,263
  Likes Received: 21,996
  Trophy Points: 280
  Mende au Nzi?
   
 17. THK DJAYZZ

  THK DJAYZZ JF-Expert Member

  #17
  Mar 8, 2012
  Joined: Sep 14, 2011
  Messages: 2,144
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 145

  Searching...100%
  Loading...100%
  Network Connected !
   
 18. Viol

  Viol JF-Expert Member

  #18
  Mar 8, 2012
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 18,982
  Likes Received: 1,087
  Trophy Points: 280
  Mkuu wa chuo acha hizo mbona thread imetulia
   
 19. Viol

  Viol JF-Expert Member

  #19
  Mar 8, 2012
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 18,982
  Likes Received: 1,087
  Trophy Points: 280
  Mkuu we ndo unaonekana mvuta bhangi,mtu kaendana na maudhui ya thread sasa sijui unatoa povu za nini
   
 20. Vodka

  Vodka JF-Expert Member

  #20
  Mar 8, 2012
  Joined: Jan 5, 2012
  Messages: 909
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Ivi kuna mtu alishawahi kuvuta atueleze inakuwaje?
   
Loading...