Nguvu na Kelele zote za Watanzania Roma Umeshindwa kusema Ukweli?

Bururu

JF-Expert Member
May 21, 2016
877
584
Roma Tunakuomba achana Rap wewe Imba Bongo flava yako kibiashara,Real Raper huwezi kumzuia kusema ukweli hata umwekee bastora,Acha kujiita Raper jiite Bongo flaver au Bongo hip hap.
Huna msingi wa kuwa mwana Real hip hop.Bora Mh Lema angekuwa mwana Hip hop.
Sio nyie njaa kali na Na Ukali wa Mbwa koko akiwa karibu na kwao.
Eti tuwaachie vyombo husika kwan vyombo vilitekwa?
 
Mkuu kama kweli aliyosimulia ndio yaliyimkuta ni ngumu sana kusema ukweli hasa ukiflash back mateso uliyopata!
Ila binafsi sijamuelewa yule mama alikuwa mkali sana kwa waandishi wa habari sasa,
Je, alikuwa anafanya vile kumlinda roma au alijua akiruhusu maswali mengi roma atajichanganya atoe ya moyoni yote!
Kile kimwanamke kimeharibu press nzima
 
Imagine umepigwaaa harafu unatishiwa wife wako atauawa kinyama ukiropoka ukweli. Unafika Police unahojiwa tena na kutishwa zaidi. Policemen wenyewe wanaokuhoji wanaoneshwa kutishika. What will you do or say to the public?

Family comes first. Mimi nimemuelewa Roma.
 
Do o die kwani huoni waharabu wanakufa kwa wanachokiamini?
 
Lete defender watu wameleta noah
Je, ingekuwa defender si angehama mji??
Aje huku aimbe taarabu au mipasho!!!
defeder ataweza mziki wake uyo?
Wameboa sana,kama umeshindwa kusema ukweli ili Watanzania walio wengi wajue jinsi ya kupigana ivyo vitendo,Kama wavyokupigania wewe Roma, Leo hii unasubili upelelezi mbona Watanzania walio wengi hawakusubili Upelelezi kukupigania?
 
Roma Tunakuomba achana Rap wewe Imba Bongo flava yako kibiashara,Real Raper huwezi kumzuia kusema ukweli hata umwekee bastora,Acha kujiita Raper jiite Bongo flaver au Bongo hip hap.
Huna msingi wa kuwa mwana Real hip hop.Bora Mh Lema angekuwa mwana Hip hop.
Sio nyie njaa kali na Na Ukali wa Mbwa koko akiwa karibu na kwao.
Eti tuwaachie vyombo husika kwan vyombo vilitekwa?
Roma cyo kwamba hawezi kusema ukweli no anaweza bali kazibwa mdomo
 
Angebaki kwenye uislamu basi ningemshauri kuanzia sasa aimbe kaswida kumtukuza Allah lakin kwakuwa amechaguwa kuwa mkristo basi aanze kuimba kwaya kumtukuza Yesu kristo mwana wa Israeli plz roma tuachie Hip hop yetu ndg huku ndio hatukuelewi kabisa na hata jukwaan tusikuone maana hiyo zomeazomea yake utajuta kuwa msanii
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom