Nguvu kutoka juu inawasambaratisha wenyeviti wa kamati za bunge. Bunge sasa ni joka la kibisa


Hawa amesoma Mzumbe au SUA?
 

Usimfananishe Bibi titi (Allah amrehemu) na vitu vya kijinga!
 
Hiyo ndio tafsiri ya siasa

Unaibua matatizo ya jamii halafu unajifanya unauchungu sana kumbe ndio unayaongeza

Niwape pole tu wanaopokea na kuzishangilia ngonjera za utawala huu

Hakika nawaambieni bila matatizo ya jamii hakuna ajira ya siasa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hawa hafanani na Bibi Titi hats kidigo. Amejiuzulu Kwa shinikizo la Magic I ko
 
Kuna kitabu kinachomuelezea Bibi Titi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi hawa waliopo wanadhani watakuwa madarakani hadi lini ?
Muda wao ukiisha - 2025 au 2035 mnaweza kuendelea na mambo yenu ya lojolojo! Ila kwa sasa, pisheni mwenye nguvu apite. Tanzania kwa sasa hakuna tena muda wa blah blah.
 
Muda wao ukiisha - 2025 au 2035 naweza kuendele na mambo yenu ya lojolojo! Ila kwa sasa, pisheni mwenye nguvu apite. Tanzania kwa sasa hakuna tena muda wa blah blah.
ni kweli huu muda ni wa njaa tu na kulimia meno
 
Mmmmhh
 
hahahahahaa nguvu kutoka juu,wapi huko mkuu,mbinguni au ikulu,kama ni ikulu tuiite nguvu kutoka magogoni,hata hvy ktk serikali hii hakuna aliye salama,rafiki ya jiwe ni yule atakayemsifia tena kwa kumtaja majina yote matatu kabla na baada ya hotuba yake popote atakapokuwa,ni kama sala kabla ya kula umtaje Jiwe na baada ya kula umtaje Jiwe,hii namba itasomwa sana walioko ndani na walio nje
 
Shughuli ipo, DU................... Sasa in kuwa.............

Sent from my Infinix-X551 using Tapatalk
 
Spika ni tatizo kubwa pia.

Sio siri kuwa SPIKA Ndugai afya yake ina mgogoro hivyo ni lazima afuate matakwa ya Jiwe ama sivyo hatapata msaada wa kwenda India kupata matibabu!!! Tundu mpaka hivi leo bunge limekataa kulipia matibabu yake ingawa ni haki yake unadhani kwasababu gani? NDUGAI SIO SITTA WALA MAKINDA!!! ANAPELEKESHWA TU.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…